Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kwani huwa mnafanya nini hapa Kijiji hiki cha Wa mwisho ndio mshindi? Maana mmezidi kukita kambi sana hapa
 
Lakini sio vizuri ujue, ndio nini jana ukaniacha hewani kule whatsappuni. Mi sijambo kabisa mdogo wangu kwema?
Kwema Sema unauchuna sana sikuhizi sijajua tatizo nini[emoji15]
By the way uko poa?
 
Kwema Sema unauchuna sana sikuhizi sijajua tatizo nini[emoji15]
By the way uko poa?
Uko poa weye. Nisamehe shoga angu kuna siku mbili tatu mambo yalikuwa yamebana kidogo ila sijambo sijui wewe.
 
Back
Top Bottom