Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Siwajui wezi wa makinikiaWengi sana hata mimi nilikuwa siwajui
Siwajui wezi wa makinikiaWengi sana hata mimi nilikuwa siwajui
Pamoja Na ukweli kuwa Ktk mikataba ya madini wazungu wanatunyonya Lakini kwa hesabu ya trillion 425 walizopelekewa walipwe na Acacia ni muendelezo mwengine wa kufanya watanzania tuonekane wajinga.Thamani yenu naiyona haswa pale mnavyojumuika kwa pamoja
Wajinga ndio waliwaoPamoja Na ukweli kuwa Ktk mikataba ya madini wazungu wanatunyonya Lakini kwa hesabu ya trillion 425 walizopelekewa walipwe na Acacia ni muendelezo mwengine wa kufanya watanzania tuonekane wajinga.
Pia mimi nilijua huwajui ila hao ndio hawajawahi kuacha kuchangia kwenye huu uzi.Siwajui hata mie pia🙂
Pia trillion 425 usd labda zile za Zimbabwe ndio acacia watalipaSiwajui hata mie pia🙂
Watalipa kwa kuzitolea sehemu yoyote kutoka kwenye miili yaoPia trillion 425 usd labda zile za Zimbabwe ndio acacia watalipa
Miili yao midogo midogo utadhani sio wakubwaWatalipa kwa kuzitolea sehemu yoyote kutoka kwenye miili yao
Wakubwa kweli kama daby nasikia ana 54yrsMiili yao midogo midogo utadhani sio wakubwa
54yrs hiyo siyo yangu bwana. Nakapenda hako katoto kwenye avatar yako kiukweliWakubwa kweli kama daby nasikia ana 54yrs
Kiukweli nimejaribu kujifunza tabia za watu humu ndani54yrs hiyo siyo yangu bwana. Nakapenda hako katoto kwenye avatar yako kiukweli
Humu ndani mimi haujajua tabia zanguKiukweli nimejaribu kujifunza tabia za watu humu ndani
Zangu huwezi kuzijua, lakini zako nimezijuaHumu ndani mimi haujajua tabia zangu
Fimbo yake!!... Daby haka katoto tushirikiane kukaibaKimaasai, yero maasai.
Utasikia masai akiwa anampigia mwezio simu ''Hellow iko wapi'?''
Mwenzio anamjibu '' Iko hapa karibu na fimbo yake"
kwao aiseeAisee hamukawezi hata kidogoFimbo yake!!... Daby haka katoto tushirikiane kukaibakwao aisee