Nywilla
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 379
- 350
Inajulikana ndio maana kiongozi tuliyenaye hana mchezo haswa!!Dunia nzima Tanzania inajulikana
Inajulikana ndio maana kiongozi tuliyenaye hana mchezo haswa!!Dunia nzima Tanzania inajulikana
Haswa licence to kill si filamu ya kibongo hiyo ilikuwa ni yaInajulikana ndio maana kiongozi tuliyenaye hana mchezo haswa!!
007007 ni mwaka up??Haswa licence to kill si filamu ya kibongo hiyo ilikuwa ni ya007
Mwaka upi ulimaliza kusoma007 ni mwaka up??
Kusoma na kuandika sio hoja ya kuongoza jiji la daressalamMwaka upi ulimaliza kusoma
Sent from my E5533 using JamiiForums mobile app
Kusoma na kuandika ni mada ambayo imefundishwa na mwalimu wetu leoMwaka upi ulimaliza kusoma
Sent from my E5533 using JamiiForums mobile app
Up? Pekee haitoshi maana ina maana zaidi ya moja hivyo twaweza kusema ni neno tata007 ni mwaka up??
Tata muraaUp? Pekee haitoshi maana ina maana zaidi ya moja hivyo twaweza kusema ni neno tata
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Muraa tataTata muraa
Sent from my E5533 using JamiiForums mobile app
Tata Madiba, hiyoMuraa tata
007 sio mwaka ni jina la mcheza filamuFilamu za kibongo zimeishia wapi?Tata Madiba, hiyo007 sio mwaka ni jina la mcheza filamu
Emmyta unaitwa hukuWapi alipo daderi wangu emmyta?
Huku emmyta hawezi kuja kwa sababu yuko jukwaa la wakubwa akijadili mambo ya wakubwaEmmyta unaitwa huku
Mambo ya wakubwa wapi mdogo wangu mana hata kwenye hilo jukwaa sijawahi kufika.Huku emmyta hawezi kuja kwa sababu yuko jukwaa la wakubwa akijadili mambo ya wakubwa
Kufika kule kunahitaji malipo nasikiaMambo ya wakubwa wapi mdogo wangu mana hata kwenye hilo jukwaa sijawahi kufika.
Naskia kuna watu hapa jf wanajifanya madon kumbe wanatumia techno wereva, leo tumeumbukaKufika kule kunahitaji malipo nasikia
Nasikia pia. Ila waliopo wanasema kuingia ni bure unatuma tu PM ya maombi kwa Jamiiforum halafu ndio unaungwa baadaeKufika kule kunahitaji malipo nasikia
Baadae jiunge seems interestedNasikia pia. Ila waliopo wanasema kuingia ni bure unatuma tu PM ya maombi kwa Jamiiforum halafu ndio unaungwa baadae
Interested in what?? Sio kweli bhanaaa dada hawez jiunga uko anawaachia wale wa buku jeroBaadae jiunge seems interested