Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Kidogo kidogo wataendana tu bora wavumilianeAnamjua ila hamfai hata kidogo
Kidogo kidogo wataendana tu bora wavumilianeAnamjua ila hamfai hata kidogo
Wavumiliane maana ndio kupambana na hali zaoKidogo kidogo wataendana tu bora wavumiliane
Hali zao zimekuwa mbayaWavumiliane maana ndio kupambana na hali zao
Mbaya zaidi ninapojikuta ninapost halafu hamna wa kujibuHali zao zimekuwa mbaya
Wa kujibu tupo mkuuMbaya zaidi ninapojikuta ninapost halafu hamna wa kujibu
Mkuu wa kamati ya Makinikia anaitwa naniWa kujibu tupo mkuu
Nani tena yule.... nshamsahauMkuu wa kamati ya Makinikia anaitwa nani
nshamsahua Zamiluni zamiluni, pia na Zakumi, wametoweka humu kama muasisi wa huu mtanangeNani tena yule.... nshamsahau
Mtanange huu hauna mshindi so watu wanaenda na kurudinshamsahua Zamiluni zamiluni, pia na Zakumi, wametoweka humu kama muasisi wa huu mtanange
kurudi kwa nyerere duniani ni sawa na wazungu kutulipa trillion zetu 425 za makinikiaMtanange huu hauna mshindi so watu wanaenda na kurudi
Makinikia ni neno jipya katika lugha ya kiswahilikurudi kwa nyerere duniani ni sawa na wazungu kutulipa trillion zetu 425 za makinikia
Kiswahili lugha yetu,Makinikia ni neno jipya katika lugha ya kiswahili
Yetu sote, tunafaidika kwa pamojaKiswahili lugha yetu,
Pamoja tunajenga nchiYetu sote, tunafaidika kwa pamoja
Nchi ya kusadikika, inazidi kumea taratibuPamoja tunajenga nchi
Taratibu ccm wameshaanza kuelewa maana ya kuisoma number.Nchi ya kusadikika, inazidi kumea taratibu
Number 0 inaonekana kama vile haina thamani lakini ikiwekwa mwisho wa namba nyingine inaongeza thamani.Taratibu ccm wameshaanza kuelewa maana ya kuisoma number.
Thamani yenu naiyona haswa pale mnavyojumuika kwa pamojaNumber 0 inaonekana kama vile haina thamani lakini ikiwekwa mwisho wa namba nyingine inaongeza thamani.
Pamoja na nani emmyta?Thamani yenu naiyona haswa pale mnavyojumuika kwa pamoja