Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Zetu swaum pia tuombe zikubaliweIn Shaa Allah, tukumbuke kufanya amali njema kabla hatujanyang'anywa pumzi zetu
Zetu swaum pia tuombe zikubaliweIn Shaa Allah, tukumbuke kufanya amali njema kabla hatujanyang'anywa pumzi zetu
Zikubaliwe hoja zetu kwenye majadiliano ya kupewa Noah na serikali tukufu ya awamu ya MakinikiaZetu swaum pia tuombe zikubaliwe
Noah au IstMakinikia yameletaw noah
Ist can also stand for International School of Tanganyika. The school is believed to be among prestigious schools in Tanzania.Noah au Ist
Tanzania ya ViwandaIst can also stand for International School of Tanganyika. The school is believed to be among prestigious schools in Tanzania.
Viwanda vidogo ni kuwa na vyerehani vinne.Tanzania ya Viwanda
Kweli vinatosha unadhani utani. Mmh hamlali?Vyerehani vinne vinatosha kweli
Hamlali, usiku wote huuKweli vinatosha unadhani utani. Mmh hamlali?
Huu usiku me leo nalala na taa Jana nililala peke yanguHamlali, usiku wote huu
Huu mwezi wa Ramadhani ndio mana nawaandalia watu daku saa hiziHamlali, usiku wote huu
Huu ni muda tulivu sanaHamlali, usiku wote huu
Sana, zaidi ya hapo sisi wengine muda tulivu kuchatHuu ni muda tulivu sana
Kuchat hakuna mwisho ni uwezo wako wa kujizuia kusinziaSana, zaidi ya hapo sisi wengine muda tulivu kuchat
Kusinzia ni dalili ya uchovuKuchat hakuna mwisho ni uwezo wako wa kujizuia kusinzia
Vinaongea sana vijana wanaoitwa MC(Msema chochote) kwenye kumbi mbalimbali za sherehe na burudaniUchovu sina, vidole vinaongea
Burudani ziko za aina nyingi.Vinaongea sana vijana wanaoitwa MC(Msema chochote) kwenye kumbi mbalimbali za sherehe na burudani
Nyingi sana hasa ukiwa na pesaBurudani ziko za aina nyingi.