form1
Senior Member
- May 21, 2017
- 113
- 143
Kusadikika kusadiki na sadiki ni rafiki wa chitemoAbunuwasi na kusadikika
Uzandiki na unafiki hauskiki ukiwa una sikio la maneno
Kusadikika kusadiki na sadiki ni rafiki wa chitemoAbunuwasi na kusadikika
Maneno yako haya ni kama ile ya kafa manzese mazishi sinzaKusadikika kusadiki na sadiki ni rafiki wa chitemo
Uzandiki na unafiki hauskiki ukiwa una sikio la maneno
Sinza si ndio inasemekana kila baada ya nyumba kuna bar na zote zinajaa.Maneno yako haya ni kama ile ya kafa manzese mazishi sinza
Zinajaa kwelikweli halafu utaskia watu eti ni usawa wa magufuliSinza si ndio inasemekana kila baada ya nyumba kuna bar na zote zinajaa.
Wadau wa vyombo na papuchiZinajaa wadau wa vyombo
Nani unayemmaanisha kwani?Papuchi ya nani
Kwani hili game haliishi tu wadauNani unayemmaanisha kwani?
Wadau papuchi na swaum wapi na wapi?Kwani hili game haliishi tu wadau
Wapi ntapata rafiki mzuriWadau papuchi na swaum wapi na wapi?
Mzuri wa sura au tabiaWapi ntapata rafiki mzuri
Tabia ni rangi ya mwili huwezi kuibadiliMzuri wa sura au tabia
Kuibadili nia yangu siwezi asirani...kumpata yeye ni neema za jalaliTabia ni rangi ya mwili huwezi kuibadili
Jalali ndiye muweza wa yoteKuibadili nia yangu siwezi asirani...kumpata yeye ni neema za jalali
Yote yanawezekana kwake....hata kumpta yule binti ambae ashaolewa....Jalali ndiye muweza wa yote
Ashaolewa tena ww unamtaka wa nn?Yote yanawezekana kwake....hata kumpta yule binti ambae ashaolewa....
nini tena hiki kinachoendelea humu? Nasikia mara papuchi, mara rafiki mzuri, mara binti aliyeolewa...Ashaolewa tena ww unamtaka wa nn?
Aliyeolewa ni mzuri wadau wamtamaninini tena hiki kinachoendelea humu? Nasikia mara papuchi, mara rafiki mzuri, mara binti aliyeolewa...
Aliyeolewa anahusika na mimi tu hayo mengine uliyoyasema hapo hausiki nayo abadan...asirani naomba mniachie "aliyeolewa" alonenini tena hiki kinachoendelea humu? Nasikia mara papuchi, mara rafiki mzuri, mara binti aliyeolewa...