mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,534
Alone atakusumbua unahitaji mshengaAliyeolewa anahusika na mimi tu hayo mengine uliyoyasema hapo hausiki nayo abadan...asirani naomba mniachie "aliyeolewa" alone
Alone atakusumbua unahitaji mshengaAliyeolewa anahusika na mimi tu hayo mengine uliyoyasema hapo hausiki nayo abadan...asirani naomba mniachie "aliyeolewa" alone
Mshenga usimuamini mkuu mara anachukua yy zigoAlone atakusumbua unahitaji mshenga
Zigo ni nini thatsit?Mshenga usimuamini mkuu mara anachukua yy zigo
Sit in demonstration was applied during US civil right movement in 1950sZigo ni nini thatsit?
1950s ni kitambo sana, nilikua bado cjawasili kwenye EarthSit in demonstration was applied during US civil right movement in 1950s
1950 ni mwaka aliozaliwa Jakaya KikweteSit in demonstration was applied during US civil right movement in 1950s
Kikwete aachwe apunzike1950 ni mwaka aliozaliwa Jakaya Kikwete
Apunzike kwa amani baba wa watuKikwete aachwe apunzike
Vipi wewe ulipotelea wapi?Watu wangu wa nguvu mambo vipi..
Wapi pale tulipopanga tukutane tule futari kwa pamoja kabla ya ramadhani kuisha.Vipi wewe ulipotelea wapi?
Kuisha kwa mfungo baadhi ya wadau wanatumia fulsa ya kufanya uovuWapi pale tulipopanga tukutane tule futari kwa pamoja kabla ya ramadhani kuisha.
Uovu wako we endelea nao tuKuisha kwa mfungo baadhi ya wadau wanatumia fulsa ya kufanya uovu
Tutakutana sehemu ambayo tutaipanga tena, sasa tujiandae vizuriUovu wako we endelea nao tu
VizuriTutakutana sehemu ambayo tutaipanga tena, sasa tujiandae vizuri
Vizuri sana, nimefurahi kuona andiko lako kwa leo baada kukupoteza kwa muda usiojulikanaVizuri
Tutaonana Inshah' AllahMuda usiojulikana, tukijaaliwa tutaonana
In Shaa Allah, tukumbuke kufanya amali njema kabla hatujanyang'anywa pumzi zetuTutaonana Inshah' Allah