Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Kombo ndio ulichokiuliza,Mrama ndio kwenda kombo?
Habari za kupotea mtebetini
Kombo ndio ulichokiuliza,Mrama ndio kwenda kombo?
Gani ndio ipiMtebetini ni kitu gani
Ipi nyeusi au nyeupeGani ndio ipi
Haraka kwa sababu haujui kutunzaaNyeupe inachafuka haraka
Le mutuz le bembez le totoz eti wengine wanamuita lemburulazKutunza kama le mutuz
Le mbururaz, Le totoz, Le mbebezz a.k.a Makinikia.Le mutuz le bembez le totoz eti wengine wanamuita lemburulaz
Hahaha le mbembez le UV ccmLe mbururaz, Le totoz, Le mbebezz a.k.a Makinikia.
Hahahahahaaaaa
Makinikia ni kwa ajili ya watanzania woteuv CCM ndo nini? makenikia?
WOTE NILISOMA NAO ,HAWAKUPATA VYETIMakinikia ni kwa ajili ya watanzania wote
Vyeti vimeibua mengi sana.WOTE NILISOMA NAO ,HAWAKUPATA VYETI
Yule ndio kipenzi cha muheshimiwa hivyo lazima amkingie kifuaVyeti vimeibua mengi sana.
Tumedhihirishwa mapenzi ya kutukuka na bwala yule kwa mtoto yule
Kifua cha emmyta sikujui hataYule ndio kipenzi cha muheshimiwa hivyo lazima amkingie kifua
Hata sitaki ukijue kaka masaiKifua cha emmyta sikujui hata
Masai is international languageHata sitaki ukijue kaka masai
Language ndio lugha kwa kiswahili. Mzima wewe?Masai is international language