Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,107
- 122,493
Pesa ya makinikiaNyingi sana hasa ukiwa na pesa
Pesa ya makinikiaNyingi sana hasa ukiwa na pesa
Dola yenyewe inazidi kupaaaMakinikia yamesepeshwa na wanaojua dola
Kupaa wanaweza ndege ila kwetu sisi wanadamu haliwezekani abadanDola yenyewe inazidi kupaaa
Simwelewi huyu mtu anataka nnHata simwelewi
Nn au nini usichokijuaSimwelewi huyu mtu anataka nn
Usichokijua ni kwamba Noah zipo njianiNn au nini usichokijua
Njiani nimewaacha wengi sana kutokana na wao kushindwa kutembea harakaUsichokijua ni kwamba Noah zipo njiani
Haraka haraka unaweza kujikwaa, chukua usafiriNjiani nimewaacha wengi sana kutokana na wao kushindwa kutembea haraka
Usafiri mi sina mwenye nao anipe lifti basi...Haraka haraka unaweza kujikwaa, chukua usafiri
Basi ukishapanda, mm ntakusubiri kituoniUsafiri mi sina mwenye nao anipe lifti basi...
Kituoni kule tulipokuwa tunajiandikisha kwenye yale madaftari ya kudumu?Basi ukishapanda, mm ntakusubiri kituoni
Kudumu jf sio kazi rahisi mana kuna wakati utafika inabidi kufanya mambo mengine.Kituoni kule tulipokuwa tunajiandikisha kwenye yale madaftari ya kudumu?
Mengine yanachosha unakosa nguvu yakuchungulia..Kudumu jf sio kazi rahisi mana kuna wakati utafika inabidi kufanya mambo mengine.
Yakuchungulia hiyo ni chaboMengine yanachosha unakosa nguvu yakuchungulia..
Chabo ni njia mbadala unapoona safari imeaanza kwenda mramaYakuchungulia hiyo ni chabo
Mrama ni kama kwenda kombo hiviChabo ni njia mbadala unapoona safari imeaanza kwenda mrama
Hivi mrama na halijojo yana maana tofauti?Mrama ni kama kwenda kombo hivi
Mrama ndio kwenda kombo?Chabo ni njia mbadala unapoona safari imeaanza kwenda mrama