Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Makutano ya watu mbalimbali wasiojuana
Jamii forum ni makutano...!!
Makutano ya watu mbalimbali wasiojuana
Jamii forum ni makutano...!!
Kimyakimya sio jambo zuri! Kuna wakati unatakiwa kudhihirisha mambo ili uweze kusaidiwa japo kwa maoni
Wasiojuana wanaweza kufahamiana inbobo kimyakimya...??
Chobisi ni aina gani ya neno la kishwahili?
Maoni mengine ya wasaka tonge yanaua, bora tu muende chobisi
Kishwahili ndo niniChobisi ni aina gani ya neno la kishwahili?
Nini usichokielewa! Maneno yanasomeka barabaraKishwahili ndo nini
Kishwahili ndo nini??Barabara yamwendo kasi igeuka kishwahili
Nini ambacho hujakielewa hapo..Kishwahili ndo nini??
Jaman hata mim sijui ila serikal nadhan kuna kitu wanafichaNini haswa ni sabab ya mauaji kule jaman?
Wanaficha nini sasa kwani Ndugu zangu wa Musoma wanamsemo "mfichaficha maradhi kifo kita muumbua"Jaman hata mim sijui ila serikal nadhan kuna kitu wanaficha
Kamati lazima uwepo tena wewe tena wa kabila langu
Muumbuaji hana hili wala lile, maana matukio ndio yanaiva, sasa tukae mkao wa kulaWanaficha nini sasa kwani Ndugu zangu wa Musoma wanamsemo "mfichaficha maradhi kifo kita muumbua"
Kula hawali wataambulia kutumbulia macho kodooMuumbuaji hana hili wala lile, maana matukio ndio yanaiva, sasa tukae mkao wa kula
Kula hawali wataambulia kutumbulia macho kodoo
Vipi tena. Yaani mpaka.leo hujui maana yake...Kodoo ndo huwa Iko vipi?!
Maana yake ni Kwamba ripoti ya pili Leo Lazma iondoke na mtu....Vipi tena. Yaani mpaka.leo hujui maana yake...
Mtu.... ustarabu ukiamka salimia wenzako, nami nawasalimia habari za asubuhiMaana yake ni Kwamba ripoti ya pili Leo Lazma iondoke na mtu....
Za asubuhi nzuri sijui huko kwenu.Mtu.... ustarabu ukiamka salimia wenzako, nami nawasalimia habari za asubuhi
Kwenu na kwetu naona salama amani inatawalaZa asubuhi nzuri sijui huko kwenu.