kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Kwenu kama ni wazima hata huku Kwetu pia....Za asubuhi nzuri sijui huko kwenu.
Kwenu kama ni wazima hata huku Kwetu pia....Za asubuhi nzuri sijui huko kwenu.
Pia nashukuru kwa kuwa mko salamaKwenu kama ni wazima hata huku Kwetu pia....
Salama salmini nawatakia mchana mwemaPia nashukuru kwa kuwa mko salama
Mchana mwema lol, wakati saa hizi asubuhi.Salama salmini nawatakia mchana mwema
Asubuhi huko Kwenu.. Ila huku Kwetu India ni mchanaMchana mwema lol, wakati saa hizi asubuhi.
Asubuhi ni sehemu ya mchana,kuna asubuhi,adhuhuri, alasiri na jioniMchana mwema lol, wakati saa hizi asubuhi.
Jioni nitawafuata mje kufuturu kwanguAsubuhi ni sehemu ya mchana,kuna asubuhi,adhuhuri, alasiri na jioni
Kwangu pia nafuturisha nakuomba tujumuike pamojaJioni nitawafuata mje kufuturu kwangu
Tuungane basi tuwe washindi .Pamoja tuungane
Washindi wengi ndo itakua vp?? Bora mshindi awe mmojaTuungane basi tuwe washindi .
Mmoja basi niwe mimi rafiki.Washindi wengi ndo itakua vp?? Bora mshindi awe mmoja
Nalo neno, cc tuliocheza tangu mwanzo jee, ww angalau umekuja juzi tu. Me sijambo Dada Emmyta nakusalimia.Mmoja mwenyewe naomba ndio niwe mimi,nawaomba wanajamvi mkubaliane nalo
Nakusalimia pia. Mimi ndio mwenyekiti msaidi wa huu mchezo una habari lakiniNalo neno, cc tuliocheza tangu mwanzo jee, ww angalau umekuja juzi tu. Me sijambo Dada Emmyta nakusalimia.
OG Kirefu chake ni nini?Wapi naweza kupata housing za simu OG
Salimini aliwahi kuwa rais huko ZanzibarOG Kirefu chake ni nini?
Salamu ziwafikie wapenzi wote wa huu uzi! Ni matumaini yangu mpo salama salimini
Zanzibar ni nchi isiyokuwa na mamlaka yake kamiliSalimini aliwahi kuwa rais huko Zanzibar