James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Yeye ndo yeyeMudhibiti huyo unayehisi ndio yeye
Yeye ndo yeyeMudhibiti huyo unayehisi ndio yeye
Nini ambacho hujakielewa! Ebu rudi page ya kwanza akaone kusudi la unakikiulizaTangu nimeanza kuuona uzi huu ni muda mrefu sana, hivi unahusu nini?????
Unakiuliza wakati hakiwezi kujibuNini ambacho hujakielewa! Ebu rudi page ya kwanza akaone kusudi la unakikiuliza
Mtu yupi? Jiangalie weweKujibu ni hiari ya mtu
Mtu mmoja anatakiwa ili apate kujazia pale penye upungufu.Kujibu ni hiari ya mtu
Tupu ya mbuzi ipo waziMwili ukiwa mkubwa saa nyingine ni shida tupu
Wazi wazi nakwambia ukitaka kuoa niweke kwenye kamatiTupu ya mbuzi ipo wazi
Kamati lazima uwepo tena wewe tena wa kabila languWazi wazi nakwambia ukitaka kuoa niweke kwenye kamati
Langu ombi ndio hilo. Usiniache kwenye mataa basiKamati lazima uwepo tena wewe tena wa kabila langu
Basi nichukue fursa hii kusema litakalo tendeka juu na chini pia. NimekuelewaLangu ombi ndio hilo. Usiniache kwenye mataa basi
Nimekuelewa nami pia. Msalimie mama clare. Uwe na usiku mwema.Basi nichukue fursa hii kusema litakalo tendeka juu na chini pia. Nimekuelewa
Mwema na kwako pia. Wasalimie wanaopaswa kusalimiwa tehNimekuelewa nami pia. Msalimie mama clare. Uwe na usiku mwema.
Teh teh. Wamezipata wote.Mwema na kwako pia. Wasalimie wanaopaswa kusalimiwa teh
Teh teh. Wamezipata wote.