Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Kibali mimi nimekitoa, hujui nimekuwa mwenyekiti wa huu mchezo?Uandamane ili iwejee Hakuna Hicho kibali...
Kibali mimi nimekitoa, hujui nimekuwa mwenyekiti wa huu mchezo?Uandamane ili iwejee Hakuna Hicho kibali...
Sasa.. SielewiMaandamano yafanyike nisipopata ushindi. We SHAMAC wewee nina bando nifanyeje sasa.
Mchezo ninaoujua Mimi ni baoKibali mimi nimekitoa, hujui nimekuwa mwenyekiti wa huu mchezo?
Kichwa ngumu kama yako
Sielewi mimi au wew kichwa ngumu??
Yako ikikushinda ya mwenzako isikuhangaisheKichwa ngumu kama yako
Yako ikikushinda ya mwenzako isikuhangaishe
Sisi Ndo Sisi... Wengne mafisi...Isikuhangaishe kuisogelea sio saize yako tuachie sisi...!!
Sisi Ndo Sisi... Wengne mafisi...

Wapi unapauliziatushinde twende wapi??![]()
Kwetu leo nipo peke yangu, nani yuko tayari aje anipe kampani kwa leo tuUnapaulizia pale kijiweni kwetu
Tuje woteKwetu leo nipo peke yangu, nani yuko tayari aje anipe kampani kwa leo tu
Wote mlioshiriki mchezo huu leo ni ruksa kujaTuje wote
Kujaa bila nauliWote mlioshiriki mchezo huu leo ni ruksa kuja