Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tena Mkuu? Mie nakujua Mkuu hata kabla ya wiki kukatika utayanya madudu haya haya.
Haya tena ni historia, sasa jiandae kuona mambo mapya kabisa yanayoendana na muda tuliopo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kesho wala kesho kutwa Mkuu. Mahasidi wameliingiza kwenye kundi la mitandao ya hovyo hovyo ili walitumbue lakini bado hawajafanikiwa.
Hawajafanikiwa na hawatafanikiwa,.. Tumeamua kulitunza jamvi letu kwa umakini Mkubwa kama fundi saa
 
Back
Top Bottom