Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Wanaficha nini sasa kwani Ndugu zangu wa Musoma wanamsemo "mfichaficha maradhi kifo kita muumbua"
Kifo kitamuumbua lazima, coz wale wauaji ni professional snipper ya wanaua kwa masafa yambali, kinacho tia shaka ni mfukukizo wa mauaji ya viongoz serikali zamtaa, wajumbe n.k.... Zaidi yahapo wakishatekeleza mauaji hawachukui mali yyote. Janga
 
Back
Top Bottom