kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Yao kwasababu hawana Ardhi YA kuchezea kuzika watu

Pekee bashite huyoo!![]()
mnanifurahisha kwelikweliKwelikweli bashite kachomekaa... Yamebaki majivumnanifurahisha kwelikweli
Eeeeh!! Na waswas haijapenya imepekenyuaKwelikweli imepenya eee?
imepekenyua ni nini?Eeeeh!! Na waswas haijapenya imepekenyua
Imepekenyua ndio nini hebu nisaidieniEeeeh!! Na waswas haijapenya imepekenyua
Tena ukumbuke Saiv hatujui hata anajiusisha na nnMajivu yapi tena?
Nisaidieni haina Maana Utaelewa Leo.. Ila kama umezaliwa kijiji utajua kuwa Wakati unavuna mahindi unakua unapekenyua....Imepekenyua ndio nini hebu nisaidieni
Nini? Ina Maana Haujui kupekenyua je? Kupukuchua unajuaimepekenyua ni nini?
Unapekenyua mahindi unataka upike makande?Nisaidieni haina Maana Utaelewa Leo.. Ila kama umezaliwa kijiji utajua kuwa Wakati unavuna mahindi unakua unapekenyua....
Makande Hapanaa.. Ila halikua hajui Maana YA kupekenyuaUnapekenyua mahindi unataka upike makande?
Unajua bora ungetumia huko kupukuchua tungekuelewa kwa haraka zaidi.Nini? Ina Maana Haujui kupekenyua je? Kupukuchua unajua
Iyo maneno imemfaa ndio mana anauliza mara mbili mbili
Zaidi kupukunyua na kupekechua kunatofauti kubwa sanaaUnajua bora ungetumia huko kupukuchua tungekuelewa kwa haraka zaidi.
Sanaa na wasaniiZaidi kupukunyua na kupekechua kunatofauti kubwa sanaa
Wasanii wa bongo,, siwaelewagiSanaa na wasanii
Siwaelewagi ni aina gani ya neno la kishwahili?Wasanii wa bongo,, siwaelewagi
Siwaelewagi ni aina gani ya neno la kishwahili?