Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
unamaanisha dingi mtoto anaifurahia iyo manenoYao ya jaza ujazwe au ipi unamaanisha
unamaanisha dingi mtoto anaifurahia iyo manenoYao ya jaza ujazwe au ipi unamaanisha
Iyo maneno imemfaa ndio mana anauliza mara mbili mbiliunamaanisha dingi mtoto anaifurahia iyo maneno
Mara mbili mbili mara moja tu yaan napenda kauli mbiu yao ya,Iyo maneno imemfaa ndio mana anauliza mara mbili mbili
tofaut kwa sabab ganMara mbili mbili mara moja tu yaan napenda kauli mbiu yao ya,
"jaza ujazwe" ila wabongo weng mnatsafsiri tofaut
Sababu gani zilizokufanya ujiunge jftofaut kwa sabab gan
Mbili baada ya kutoskia vzuri mara ya kwanzaIyo maneno imemfaa ndio mana anauliza mara mbili mbili
Kwanza nimeona bora nibakiMbili baada ya kutoskia vzuri mara ya kwanza
nibaki afrikaKwanza nimeona bora nibaki
Afrika ndio Bara langu hivyo sina budi kulipenda kwa moyo wangu wote.nibaki afrika
Wote tumeskia lkn afrika nibara duniAfrika ndio Bara langu hivyo sina budi kulipenda kwa moyo wangu wote.
Ni bara duni sawa ila wa kulibadilisha ni sisi wenyeweWote tumeskia lkn afrika nibara duni
Wenyewe kulibadilisha labda kwa kuchoraNi bara duni sawa ila wa kulibadilisha ni sisi wenyewe
Kwa kuchora tena sio kwa kujishughulisha.Wenyewe kulibadilisha labda kwa kuchora
kujishughulisha kila mda ni kazi ya moyoKwa kuchora tena sio kwa kujishughulisha.
Moyo unakazi yakusuma damu, huko kujishughulisha nimaamuzi ya akilikujishughulisha kila mda ni kazi ya moyo
akili kweli zina level tofauti ya kufikiri, hivi mkuu unajua maana ya kujishughulisha kweli au ndo umekariri?Moyo unakazi yakusuma damu, huko kujishughulisha nimaamuzi ya akili
Ndo umekariri kuwa huu mchezo hauna mshindi.akili kweli zina level tofauti ya kufikiri, hivi mkuu unajua maana ya kujishughulisha kweli au ndo umekariri?
Mshindi ni mimiNdo umekariri kuwa huu mchezo hauna mshindi.
Mwingine anasema ati nimekaririMshindi ni mimi na hakuna mwingine