goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Kuelewa katika jambo fulani kuna hitaji umakini wa kusikia, kuona, na hata kufikiri.Ili awaadhike. Nimetumia hivyo ili apate kuelewa si unajua tunatofautiana kuelewa.
Kuelewa katika jambo fulani kuna hitaji umakini wa kusikia, kuona, na hata kufikiri.Ili awaadhike. Nimetumia hivyo ili apate kuelewa si unajua tunatofautiana kuelewa.
kufikiri ni tendo jepesi ambalo wengi hawaliweziKuelewa katika jambo fulani kuna hitaji umakini wa kusikia, kuona, na hata kufikiri.
Hawaliwezi kwasababu ni vilazaakufikiri ni tendo jepesi ambalo wengi hawaliwezi
Vilazaa=vilazaHawaliwezi kwasababu ni vilazaa
Vilaza.. Nimekupata mkuu typing errorVilazaa=vilaza
Error in counting or in measurementVilaza.. Nimekupata mkuu typing error
Measurement sizijui ebu nijuze Hizo errorError in counting or in measurement
mkuu muuza ubuyu, ubuyu upoo??Kupanua siyo vizuri mkuu
Upo wapmkuu muuza ubuyu, ubuyu upoo??
wap au wapi kiswahili kitapotea jamaniUpo wap
Jamani usinikosoe hivyowap au wapi kiswahili kitapotea jamani
Hivyo hivyo utaelewaJamani usinikosoe hivyo
Utaelewa kuwa ni Bora kutakatisha mabilioni upigwe faini YA milioni kuliko kuiba kuku upigwe kibiriti....Hivyo hivyo utaelewa
Kibiriti ndio hutumika kuwashia moto.Utaelewa kuwa ni Bora kutakatisha mabilioni upigwe faini YA milioni kuliko kuiba kuku upigwe kibiriti....
Moto wa bashite ushazimwaaKibiriti ndio hutumika kuwashia moto.
Ushazimwa kitambo sasa yamebaki majivu pekee.Moto wa bashite ushazimwaa
Pekee hayo majivu yakazikwe baharini kama wahindi wanavyofanyaUshazimwa kitambo sasa yamebaki majivu pekee.
Wanavyofanya vile saa nyingine naona ni ukatili japo ndio hivyo ni imani yaoPekee hayo majivu yakazikwe baharini kama wahindi wanavyofanya