Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Shida unayo ya kazi za uckuSita tuu, unatakiwa ulale masaa nane. Mie niko job nikilala itakuwa shida
Shida unayo ya kazi za uckuSita tuu, unatakiwa ulale masaa nane. Mie niko job nikilala itakuwa shida
ucku ndio nini andika usikuShida unayo ya kazi za ucku
Usiku kazi nyingi ni za walinziucku ndio nini andika usiku
Usiku tena, sa hizi ni alfajirucku ndio nini andika usiku
walinzi wenyewe wamelala saiziUsiku kazi nyingi ni za walinzi
alfariji mi naona bado haijafikaUsiku tena, sa hizi ni alfajir
Haijafika wapiii, hisikii azana au uko kule kwa Trumpalfariji mi naona bado haijafika
Trump ni Rais ambaye ni mfanyabiasharaHaijafika wapiii, hisikii azana au uko kule kwa Trump
Mfanyabiashara anaweza asiwe mjasiriamali.Trump ni Rais ambaye ni mfanyabiashara
Mjasiriamali si ndio entrepreneurshipMfanyabiashara anaweza asiwe mjasiriamali.
Enterpreneurshipi ni kwa kithunguMjasiriamali si ndio entrepreneurship
Kithungu si ni KiswazilandEnterpreneurshipi ni kwa kithungu
Kiswaziland ni muunganiko wa kiswazi na landKithungu si ni Kiswaziland
Land si ndio ardhi jamaniKiswaziland ni muunganiko wa kiswazi na land
Leo ni shwari kabisa kuanzia asubuhiJamani Ijumaa leo
Leo Cjui niende kuswali...Jamani Ijumaa leo
Kuswali pia unajiuliza, jitahidi uende ukapate mawili matatu.Leo Cjui niende kuswali...
Mawili matatu au mawaidha ili awaadhikeKuswali pia unajiuliza, jitahidi uende ukapate mawili matatu.
Ili awaadhike. Nimetumia hivyo ili apate kuelewa si unajua tunatofautiana kuelewa.Mawili matatu au mawaidha ili awaadhike