kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Kolomije ishapitwa na Wakati.. Saivi ni makanikiaKishwahili ndo lugha yenu huko kolomije...?..
Kolomije ishapitwa na Wakati.. Saivi ni makanikiaKishwahili ndo lugha yenu huko kolomije...?..
Makanikia ndio nini mkuuKolomije ishapitwa na Wakati.. Saivi ni makanikia
Makanikia ndio nini mkuu
Makinika haileti maana nzuriMkuu hayo ni makinika...!!
makinika kwa kingereza ndo take care au?Mkuu hayo ni makinika...!!
Mkuu ni mchanga wa madini Ila ni kwa neno moja mkuuMakanikia ndio nini mkuu
makinika kwa kingereza ndo take care au?
Binafsi nauchukia unafikiAu ndo yale yale ya Yohana kukamata samaki na kulipishwa ma tillion kwa sababu ya Kiki binafsi...?
Binafsi sipendi mademuAu ndo yale yale ya Yohana kukamata samaki na kulipishwa ma tillion kwa sababu ya Kiki binafsi...?
Puchu ni mbaya kwa afyaMademu hupendi unapenda puchu...??
Puchu ni mbaya kwa afya
uzi huu hauishi leo wala kesho kutwa hapa ni mpaka kieleweke
Afya ya mgegedo ndo usiseme, unabaki mwembamba kama uzi ...!
Kieleweke kweli mumy mana mbeleni kuna sikukuu.uzi huu hauishi leo wala kesho kutwa hapa ni mpaka kieleweke
Kieleweke kweli mumy mana mbeleni kuna sikukuu.
Kuchangia Damu kunakufanya kuwa na afya boraSikukuu ya kumpa tuzo emmyta ya commenter maaarufu kwenye huu uzi sababu kila siku hakosi kuchangia...!!
Huzi huu upo mbali
Afya ya mgegedo ndo usiseme, unabaki mwembamba kama uzi ...!
Naisubiri wap