Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Wapi yupo member bora wa jfNaisubiri wap
Wapi yupo member bora wa jfNaisubiri wap
Jf humu humu
Pia ukumbuke kuna vvuHumu tunachota kila kitu maarifa, maujanja, marafiki na michepuko pia...!!
Pia ukumbuke kuna vvu
Kaburini kama kanumba na sitta!!Vvu mbaya sana usiombe ukumbane nayo ukilala kitandani unahisi umelala kaburini....!!
Sitta alikuwa spika wa bunge wa kipekee.Kaburini kama kanumba na sitta!!
Kipekee... nimeshindwa kudadavua ilo neno Ila tuendelee wakuuSitta alikuwa spika wa bunge wa kipekee.
Wakuu wa anga au mabomuKipekee... nimeshindwa kudadavua ilo neno Ila tuendelee wakuu
Mabomu ya gongo la mboto sitayasahau nilitimua mbio Hussain bolt nyuma aiseeWakuu wa anga au mabomu
Mabomu ya mbagalaWakuu wa anga au mabomu
Aiseee we ni wa kaskaziniMabomu ya gongo la mboto sitayasahau nilitimua mbio Hussain bolt nyuma aisee
Mabomu si ndio yale yaliyowahi kulipuka mbagala na gongo la mbotoWakuu wa anga au mabomu
Mbagala ipiMabomu ya mbagala
Mboto ni comedian Mzuri bongoMabomu si ndio yale yaliyowahi kulipuka mbagala na gongo la mboto
Kaskazini wapi mkuu me nyanda za juu kusini moja hiyoAiseee we ni wa kaskazini
Hiyoo. Nyanda za juu kusini kwa kina mwanjelwaKaskazini wapi mkuu me nyanda za juu kusini moja hiyo
Mwanjelwa wakina njombe na wengine wa huko kwenye baridi kama Urussi ya sasaHiyoo. Nyanda za juu kusini kwa kina mwanjelwa
Sasa naanza kuelewa kwa nini hakuna mshindiMwanjelwa wakina njombe na wengine wa huko kwenye baridi kama Urussi ya sasa
Sasa Arusha ni antactica... Kwa baridiMwanjelwa wakina njombe na wengine wa huko kwenye baridi kama Urussi ya sasa