God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 720
- 1,370
Huruma na Rehema zake zatufanya tutembee njia zake, kusamehe kama atusameheavyo, na kuishi vyema na wenzetu.Mungu wetu ni mwingi wa huruma na Rehema
Huruma na Rehema zake zatufanya tutembee njia zake, kusamehe kama atusameheavyo, na kuishi vyema na wenzetu.Mungu wetu ni mwingi wa huruma na Rehema
Dada emmyta naona gbefa kasahau sheria za mchezoMtiifu hajambo amekukumbuka aisee mzima wewe Dada
Mchezo ni kuanza kwa sentesi/neno/maneno ya mwisho ili kuendeleza tungo mpya.Dada emmyta naona gbefa kasahau sheria za mchezo
Mpya na nzuri kuliko zote nimeletewa mimiMchezo ni kuanza kwa sentesi/neno/maneno ya mwisho ili kuendeleza tungo mpya.
Mimi kumbe ndio maana nmeletewa kuu kuu!Mpya na nzuri kuliko zote nimeletewa mimi
Kuu kuu nini?Mimi kumbe ndio maana nmeletewa kuu kuu!
Nini na ni wapi Garagaza?Kuu kuu nini?
Garagaza aliacha kugaragaza?Nini na ni wapi Garagaza?
Garagaza ni sehemu moja hivi huku kwetu inafahamika kwa kuuza chai ya pilipiliNini na ni wapi Garagaza?
tope lililopo huku kwetu almanusura nianguke chiniGaragaza ni kitendo cha kumuadabisha mtu kwa kumviringisha ardhini, mathalani kwenye vumbi/tope.
Pilipili ni jina la mshehereshaji mashughuli hapa mjini.Garagaza ni sehemu moja hivi huku kwetu inafahamika kwa kuuza chai ya pilipili
Mjini kuna mengi, mazuri na mabaya, ni wewe tu!Pilipili ni jina la mshehereshaji mashughuli hapa mjini.
"Ni wewe tu!" Ilisikika sauti ya afande Sungura akijaribu kurasmisha kupewa rushwa aliyomuomba mkulima Komba.Mjini kuna mengi, mazuri na mabaya, ni wewe tu!
Komba yule mwimbaji wa nyimbo za CCM?"Ni wewe tu!" Ilisika sauti ya afande sungura akijaribu kurasmisha kupewa rushwa aliyomuomba mkulima Komba.
CCM mbele kwa mbeleKomba yule mwimbaji wa nyimbo za CCM?
Mbeleni tutajutaCCM mbele kwa mbele
Tutajuta kwa nini tuliumbiwa nidhamu ya uoga.Mbeleni tutajuta