Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Haki inanunuliwa siku hiziUoga ni adui wa haki.
Haki inanunuliwa siku hiziUoga ni adui wa haki.
Haki imetoweka katika utawala huuUoga ni adui wa haki.
Huu utawala ni wa aina yake kuwahi kutokea, ila yana mwisho.Haki imetoweka katika utawala huu
Mwisho wake itakuwa ni furaha kwa woteHuu utawala ni wa aina yake kuwahi kutokea, ila yana mwisho.
Wote tutafurahia, tikitokwa na machozi ya furaha pale tutakapoona CCM imeondolewa madarakani, na chama dora chenye haki kukabidhiwa nchi hii.Mwisho wake itakuwa ni furaha kwa wote
Hii hapa siri ya uzuri wakeWote tutafurahia, tikitokwa na machozi ya furaha pale tutakapoona CCM imeondolewa madarakani, na chama dora chenye haki kukabidhiwa nchi hii.
Asili yake ni msukumaWake zetu wa kiafrika ni wastaarabu sana, na wazuri kwa asili
Msukuma ni mtani wanguAsili yake ni msukuma
Ametimia kama wa mtani wangu wa kisukuma!Uzuri wake jamali kila kona ametimu
Wangu wa ukweli anazingua sanaMsukuma ni mtani wangu
Kisukuma ni lugha/kabila languAmetimia kama wa mtani wangu wa kisukuma!
Kabila langu ni MkuryaKisukuma ni lugha/kabila langu
Kabila langu ndio kabila lenye watu wengi kuliko makabila yote TanzaniaKisukuma ni lugha/kabila langu
Mkurya/mura shusha mapanga naileta posa tarimeKabila langu ni Mkurya
Tanzania ya viwandaKabila langu ndio kabila lenye watu wengi kuliko makabila yote Tanzania
Tarime natokeaMkurya/mura shusha mapanga naileta posa tarime
Natokea ntuzuTarime natokea