Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Ntuzu ndio wapi?Natokea ntuzu
Ntuzu ndio wapi?Natokea ntuzu
ntuzu ndo wapi mkuu?Natokea ntuzu
Wapi ulipo baby nambie nipajue roho yangu iturieNtuzu ndio wapi?
Itulie tu, tena sana mpaka nitakaporudi nyumbani.Wapi ulipo baby nambie nipajue roho yangu iturie
Nyumbani kwetu kuna mbwa mkaliItulie tu, tena sana mpaka nitakaporudi nyumbani.
Mkali ni mimi mtani wako ninayekula mbwaNyumbani kwetu kuna mbwa mkali
Mbwa ni kwa ajili ya ulinzi tuMkali ni mimi mtani wako ninayekula mbwa
Mbwa tenaMkali ni mimi mtani wako ninayekula mbwa
Kweli dunia imekwishaMbwa tena
Aiseeee mkuu God Heals unakulaga mbwa kweli?
Kweli huwa nakula, ni nyama tamu sana.Mbwa tena
Aiseeee mkuu God Heals unakulaga mbwa kweli?
"Imekwisha!" Ilikuwa ni sauti ya mshangao wa kwisha kwa asali kwenye kibuyu.Kweli dunia imekwisha
Kibuyu ya bongo movie enzi zile unaikumbuka"Imekwisha!" Ilikuwa ni sauti ya mshangao wa kwisha kwa asali kwenye kibuyu.
Unaikumbuka siku yako ya kuanza darasa la kwanza?Kibuyu ya bongo movie enzi zile unaikumbuka
Kwanza naombeni mlale, usiku wa manane sasa hiviUnaikumbuka siku yako ya kuanza darasa la kwanza?
Sasa hivi bado mapema sana, labda nikimaliza mzunguko wa saba!Kwanza naombeni mlale, usiku wa manane sasa hivi
Saba mara sabini hizo ni ibadaSasa hivi bado mapema sana, labda nikimaliza mzunguko wa saba!
ibada ya juzi jumapili nilichelewa alaf nikawa nasinzia kinomaSaba mara sabini hizo ni ibada
Nasinzia kinoma nikikuwaza jakitooibada ya juzi jumapili nilichelewa alaf nikawa nasinzia kinoma
Jakito ni mdada au ni mmamaNasinzia kinoma nikikuwaza jakitoo
Mmama hili neno halipo kwenye kiswahiliJakito ni mdada au ni mmama