form1
Senior Member
- May 21, 2017
- 113
- 143
nimekariri mengi tu mkuu ila ulichokisema wewe ndo kimenifanya nami niseme vileMwingine anasema ati nimekariri
nimekariri mengi tu mkuu ila ulichokisema wewe ndo kimenifanya nami niseme vileMwingine anasema ati nimekariri
Vile vile ndio tulivyotaka iwenimekariri mengi tu mkuu ila ulichokisema wewe ndo kimenifanya nami niseme vile
iwe vipi sasa?Vile vile ndio tulivyotaka iwe
Sasa mnagombana nini wakati mimi nipo hapa!iwe vipi sasa?
Wapendwa tena? Hatujambo tupo tunalisukuma gurudumu la wa mwisho mshindi.Sasa mnagombana nini wakati mimi nipo hapa!
Habari za jioni wapendwa
Yako na yangu zote salamaWapendwa tena? Hatujambo tupo tunalisukuma gurudumu la wa mwisho mshindi.
Vipi hali yako?
Salama salimini tunamshukuru muumba kwa uzimaYako na yangu zote salama
Uzima ni zawadi toka kwa MuumbaSalama salimini tunamshukuru muumba kwa uzima
Muumba ndiye anayepanga riziki kwa kila mmoja wetu.Uzima ni zawadi toka kwa Muumba
Wetu uhai upo kwenye himaya ya Mungu mlezi wa Viumbe vyote hapa ulimwenguniMuumba ndiye anayepanga riziki kwa kila mmoja wetu.
ulimwenguni watu ni wengi,binadamu ni wachache..!!..Wetu uhai upo kwenye himaya ya Mungu mlezi wa Viumbe vyote hapa ulimwenguni
Wachache sana wanaofaidi na rasilimali za nchi yetuulimwenguni watu ni wengi,binadamu ni wachache..!!..
yetu yanatushinda ya wenzetu tutayaweza..??Wachache sana wanaofaidi na rasilimali za nchi yetu
Tutayaweza tu mana mpaka yetu yanatushinda ujue ni mazitoyetu yanatushinda ya wenzetu tutayaweza..??
Tutayaweza ya kwetu kwa uwezo wa Mwenyezi Munguyetu yanatushinda ya wenzetu tutayaweza..??
Mungu amenitoa mbali sanaTutayaweza ya kwetu kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
Sana sana nimehofia unanisema mimiMungu amenitoa mbali sana
Mimi siwezi sahau mema aliyonitendea Mungu wetu.Sana sana nimehofia unanisema mimi
Mungu wetu ni mwingi wa huruma na RehemaMimi siwezi sahau mema aliyonitendea Mungu wetu.
Rehema yule aliyekuwa rafiki yako?Mungu wetu ni mwingi wa huruma na Rehema