bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Klaree ni Mtanzania huyo!Wapi nitampata mama klaree?
Klaree ni Mtanzania huyo!Wapi nitampata mama klaree?
Aaaminbaba wa taifa Kambalage tuzd kumuombea apumzke kwa amani
Aaamin, umecheza faulo!Aaamin
Mkuu yapi unamaanisha wa shule au wa wapi!Faul gani mkuu?
Mkuu usiharibu mchezo, hapa wa mwisho ndio mshindiFaul gani mkuu?
Mshindi ni pamoja na kufuata vigezo. Hukuanza na neno la mwisho kwenye uzi wa kabla yakoFaul gani mkuu?
Yako huyaoni unayaona ya wenzako,Mshindi ni pamoja na kufuata vigezo. Hukuanza na neno la mwisho kwenye uzi wa kabla yako
Wenzako wako wapi wale wa jana ulioniambia utakuja nao..Yako huyaoni unayaona ya wenzako,
Naona emmyta umekuja, ulikuwa wapi muda woteWenzako wako wapi wale wa jana ulioniambia utakuja nao..
Muda wote nilikuwa na shughuli za nyumbani ndio zameisha sasaNaona emmyta umekuja, ulikuwa wapi muda wote
Sasa mbona hukuniambia mapema, mimi nimekaa hapa jamvini nimekusubiri hadi nimechokaMuda wote nilikuwa na shughuli za nyumbani ndio zameisha sasa
Magumu sana maisha , sijui tufanyeje ili yakae sawaMwifwa kashapoa kwa sababu anajua majukumu ya kifamilia yalivyo magumu
Sawa nakubaliana na ww, habari za mchanaMagumu sana maisha , sijui tufanyeje ili yakae sawa
Za mchana nzuri shoga angu. Sijui kwako na familia..Sawa nakubaliana na ww, habari za mchana
Familia iko mbali na mm ila ñna uhakika wote hawajambo km mimiZa mchana nzuri shoga angu. Sijui kwako na familia..
Familia iko mbali na mm ila ñna uhakika wote hawajambo km mimi
Hivyo ndivyo mnavyonishawishi niendelee kubaki onlineMimi mwenyewe naamini hivyo.