Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Waja wake ndio sisi hatuna budi kumuomba kila kukicha atupe na kutuongezea zaidi ya tulivyo navyoYake Neema ya muumba haina upendeleo kwa waja wake
Waja wake ndio sisi hatuna budi kumuomba kila kukicha atupe na kutuongezea zaidi ya tulivyo navyoYake Neema ya muumba haina upendeleo kwa waja wake
Tulivyo navyo ni moja ya baraka zake lakini tunashindwa kuvitumia vizuri.Waja wake ndio sisi hatuna budi kumuomba kila kukicha atupe na kutuongezea zaidi ya tulivyo navyo
Vizuri kujielewaTulivyo navyo ni moja ya baraka zake lakini tunashindwa kuvitumia vizuri.
Kujielewa ni kufanya mambo kwa mipangoVizuri kujielewa
Mipango yenyewe iwe ya maana sio ya hovyo hovyoKujielewa ni kufanya mambo kwa mipango
Hovyo kabisa anavyofanya bwana fulani kinyume na taratibu na miiko yetu ya kila sikuMipango yenyewe iwe ya maana sio ya hovyo hovyo
Hovyohovyo ndivyo alivyopanga kulala, mpaka sasa hivi bado yupo machoMipango yenyewe iwe ya maana sio ya hovyo hovyo
Macho ni mawili siku zote nani anabisha..Hovyohovyo ndivyo alivyopanga kulala, mpaka sasa hivi bado yupo macho
anabisha chuma cha mjerumani.... hajapita huku siku mingiMacho ni mawili siku zote nani anabisha..
Siku mingi sikjakuona upo?anabisha chuma cha mjerumani.... hajapita huku siku mingi
Mingi mipango na majukumu ndio yamemfanya apotee hukuanabisha chuma cha mjerumani.... hajapita huku siku mingi
Siku mingi simuoni huku ila kuna jukwaa nilimuona juzi ila silikumbuki vizuri ni jukwaa gani. Itakuwa kaona hawezi kushindaanabisha chuma cha mjerumani.... hajapita huku siku mingi
labdaLabda lile jukwaa emmytaSiku mingi simuoni huku ila kuna jukwaa nilimuona juzi ila silikumbuki vizuri ni jukwaa gani. Itakuwa kaona hawezi kushinda![]()
labda
labda itakuwa ni hivyo.. na mimi nimemuona jukwaa fulani nikamuita hakunisikia.Siku mingi simuoni huku ila kuna jukwaa nilimuona juzi ila silikumbuki vizuri ni jukwaa gani. Itakuwa kaona hawezi kushinda![]()
labda
Hakunisikia hata mimi , mana nilijifanya kumpa like ila wapi. Najua atarudi tu tuzidi kumsubiri.labda itakuwa ni hivyo.. na mimi nimemuona jukwaa fulani nikamuita hakunisikia.
tuzidi kumsubiri kama tulivomsubiri daby akarudi japo kuchunguliaHakunisikia hata mimi , mana nilijifanya kumpa like ila wapi. Najua atarudi tu tuzidi kumsubiri.
Kuchungulia sio tabia nzuri maana waweza mchungulia hata shemejituzidi kumsubiri kama tulivomsubiri daby akarudi japo kuchungulia
Shemeji!! Siku hizi hakunaga ushemejiKuchungulia sio tabia nzuri maana waweza mchungulia hata shemeji
shemeji shemeji zima taaKuchungulia sio tabia nzuri maana waweza mchungulia hata shemeji
Ushemeji ulikuwa enzi hizo sio siku hiziShemeji!! Siku hizi hakunaga ushemeji