Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Sahv wizi si dili tenaMwingine anawaza kwenda kuiba sahv
tena unapokwa kwenye jiji la bashite...Sahv wizi si dili tena
Bashite kazua balaa mjinitena unapokwa kwenye jiji la bashite...
Mjini hakukaliki siku hizi...Bashite kazua balaa mjini
Hizi mvua hazimalizi mbona zimekuwa kubwa mwaka huu jamaniMjini hakukaliki siku hizi...
Jamani huu mji ikinyesha mvua basi ni shida sana...Hizi mvua hazimalizi mbona zimekuwa kubwa mwaka huu jamani
Ni shida sana kupokea msemo wa jaza ujazwe kama n mtumiaj mzur wa tigoJamani huu mji ikinyesha mvua basi ni shida sana...
Tigo ni tungo tataNi shida sana kupokea msemo wa jaza ujazwe kama n mtumiaj mzur wa tigo
Tata kwelikweliTigo ni tungo tata
Kwelikweli ni aina gani ya maneno?Tata kwelikweli
Maneno matupu hayavunji mfupa.Kwelikweli ni aina gani ya maneno?
Mfupa uliomshinda fisi?Maneno matupu hayavunji mfupa.
Fisi ni mnyama anaedharaulika kabisa hapa dunianiMfupa uliomshinda fisi?
Fisi ni mnyama anaedharaulika kabisa hapa duniani
Wakuu wengine sijui hali zao, ila mimi binafsi nipo poaduniani hapa tunapita cha muhimu ni kumkumbuka muumba wetu.
habari ya asubuhi wakuu?
Poa tu, mm pia sijamboWakuu wengine sijui hali zao, ila mimi binafsi nipo poa
Sijambo nimelala na furaha nimeama na mood mbayaPoa tu, mm pia sijambo
Mbaya hiyo mood umeama nayo wapiSijambo nimelala na furaha nimeama na mood mbaya
Wapi nitampata mama klaree?Mbaya hiyo mood umeama nayo wapi