allan_joh
Member
- Apr 20, 2017
- 11
- 10
baba wa taifa Kambalage tuzd kumuombea apumzke kwa amaniWengi wanapenda mchezo wa kibaba baba
baba wa taifa Kambalage tuzd kumuombea apumzke kwa amaniWengi wanapenda mchezo wa kibaba baba
Amani iwe juu yenubaba wa taifa Kambalage tuzd kumuombea apumzke kwa amani
Yenu umenena, na kwao pia.Amani iwe juu yenu
pia kwa wababa kama kwenye avatari yako amani iwe kwaoYenu umenena, na kwao pia.
Kwao kuna mvua kubwapia kwa wababa kama kwenye avatari yako amani iwe kwao
Kubwa lile gauni nililokwambia uninulie halijanitosha ujue.Kwao kuna mvua kubwa
Ujue hamna tena km lile dukani, itabd ulipunguze tu uvae, me nikajua limekutoshaKubwa lile gauni nililokwambia uninulie halijanitosha ujue.
limekutosha lile shati alokupa emmytaUjue hamna tena km lile dukani, itabd ulipunguze tu uvae, me nikajua limekutosha
Limekutosha na wewe lilo ulilolinunua. Itabidi tu nikalipunguze mana sina jinsi.Ujue hamna tena km lile dukani, itabd ulipunguze tu uvae, me nikajua limekutosha
Jinsi nilivyokuona nilihc itakua size yako. Mm langu limenifit kwa kweliLimekutosha na wewe lilo ulilolinunua. Itabidi tu nikalipunguze mana sina jinsi.
Jakitoo lake limemtosha na ww punguza kula uwe na mwili km wanguKweli uliniona kibonge, halikunitosha lile ni size ya jakitoo.
Wangu mwili ulishagoma. Nakula hatari ila sinenepi, basi ngoja tu nikalipunguze lipate kunitosha ili tuwe sare sare.Jakitoo lake limemtosha na ww punguza kula uwe na mwili km wangu
Sare sare maua sote mm, ww na jakitooWangu mwili ulishagoma. Nakula hatari ila sinenepi, basi ngoja tu nikalipunguze lipate kunitosha ili tuwe sare sare.
Hatari kutembea barabarani ucku na hasa ukiwa peke yako![]()
Hata nami sitegemei. Ila tutapendeza hatari.
Yako maua nimeyaona pale sokoni tukipata nafasi twendeni tukaya nunue , ni mazuri hayo.Hatari kutembea barabarani ucku na hasa ukiwa peke yako
peke yako peke yako haitopendeza mpaka tuwe wote watatu ndo itapendezaHatari kutembea barabarani ucku na hasa ukiwa peke yako