Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Sekondari alifeli niniAtakuonyesha kila kitu yule bashite lakini sio cheti chake cha elimu ya Sekondari
Sekondari alifeli niniAtakuonyesha kila kitu yule bashite lakini sio cheti chake cha elimu ya Sekondari
Nini Daby wewe umekimbia uziniSekondari alifeli nini
Nini ambacho hujakielewa mpaka sasa..Sekondari alifeli nini
Nini ambacho hujakielewa mpaka sasa..
Chai ya nini wakati umefunga?mpaka sasa sijanywa chai
Umefunga ww tu wengine tunakulaChai ya nini wakati umefunga?
Walai wewe unavyopenda kula najua hauwezi kufungaUmefunga ww tu wengine tunakula
Walai wewe unavyopenda kula najua hauwezi kufunga
Kobe anatabia mbaya saana. Anatoa kichwa kisha anakirudisha ndiyo zako mkuu?kufunga sijafunga mimi kobe
Kobe na kasa wanafanana tabiakufunga sijafunga mimi kobe
Sio nzuri kama ya bashitetabia yangu sio nzuri
Sio nzuri kama ya bashite
Id gani inakufurahisha hapa jukwaani?bashite yuko jamiiforum ila sijui anatumia id gani
jukwaani ni sehemu ya porojo tu, kula kila mtu kwenu...Id gani inakufurahisha hapa jukwaani?
Kwenu nasikia ni korimijejukwaani ni sehemu ya porojo tu, kula kila mtu kwenu...
Kwenu nasikia ni korimije
Zero imemfanya mtu kutumia jina la mwingine...korimije au koromije kule kwa mr zeroo
Mwingine anawaza kwenda kuiba sahvZero imemfanya mtu kutumia jina la mwingine...
Wapi wewe,,,,,,ni jina la mkoaKatavi ni jina la kijiji fulani lkn nimesahau kiko wapi