Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Salama salmini kwangu sijajua kwa wengine.Mwifwa na wanajamvi wote natuma kumekucha salama
Ulishafanya mazoezi?
Salama salmini kwangu sijajua kwa wengine.Mwifwa na wanajamvi wote natuma kumekucha salama
Mazoezi? Ya nini? Wakati Hali ya maisha inatosha kupunguza manyama uzembeSalama salmini kwangu sijajua kwa wengine.
Ulishafanya mazoezi?
Manyama uzembe ninayo ila hata sijui yanapunguaje.Mazoezi? Ya nini? Wakati Hali ya maisha inatosha kupunguza manyama uzembe
Mzima mama. Miss you tooManyama uzembe ninayo ila hata sijui yanapunguaje.
Nimekumiss mumy. Mzima?
Too much of anything is harmful.Mzima mama. Miss you too
Duniani kuna mambo mengi mazuri na mabayann ni lugha ya wapi duniani?
Mazuri yana hesabika mana ni machache mnomabaya ndo yamezidi mazuri
Mno watu wanaangaika sana na hii dunia lakin mwisho wasiku wengi hukata tama...Mazuri yana hesabika mana ni machache mno
Tamaa mbaya siku zoteMno watu wanaangaika sana na hii dunia lakin mwisho wasiku wengi hukata tama...
Zote nguo bado mbichiTamaa mbaya siku zote
Mbichi hizi embe hata sizitakiZote nguo bado mbichi
Samaki wa maji baridi ndiyo wakavumbichi nini? nguo au samaki
wakavu hasa wakianikwa juaniSamaki wa maji baridi ndiyo wakavu
Juani kuna faida ya Vitamin kadhaa tunazozihitaji ila wenzetu wazungu kukaa juani huathirika !!wakavu hasa wakianikwa juani
Huathirika sana mazao hasa pale mvua ikinyesha iliyozidi kiwangoJuani kuna faida ya Vitamin kadhaa tunazozihitaji ila wenzetu wazungu kukaa juani huathirika !!
Kiwango kinachohitajika.., Maulamaa husema "Khayru al-umur awasatuha" tafsiri na mana yake:~ Heri ya mambo ni wastani !!Huathirika sana mazao hasa pale mvua ikinyesha iliyozidi kiwango
Wastani wa ufaulu unazidi kuongezeka kila kukicha.Kiwango kinachohitajika.., Maulamaa husema "Khayru al-umur awasatuha" tafsiri na mana yake:~ Heri ya mambo ni wastani !!
Kukicha ni bora kuliko kutopambazuka......!!Wastani wa ufaulu unazidi kuongezeka kila kukicha.