bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Uzalendo hautakiwi kupotea hata Taifa likigawanyika vipiTaifa letu limegawanyika hakuna uzalendo
Uzalendo hautakiwi kupotea hata Taifa likigawanyika vipiTaifa letu limegawanyika hakuna uzalendo
vipi mambo mkuu?Uzalendo hautakiwi kupotea hata Taifa likigawanyika vipi
Mkuu, namshukuru Mwenyezi Mungu si mabaya!vipi mambo mkuu?
Mabaya sio mazur mim nakuombea mema na barakaMkuu, namshukuru Mwenyezi Mungu si mabaya!
Baraka, mafanikio na mengi yaliyo mazuri nami nakuombea.Mabaya sio mazur mim nakuombea mema na baraka
Nakuombea Mungu akushushie neemaBaraka, mafanikio na mengi yaliyo mazuri nami nakuombea.
Neema jina la mtu, Mrembo wa Koromije.Nakuombea Mungu akushushie neema
Koromije ni wasomiNeema jina la mtu, Mrembo wa Koromije.
Wasomi wakuchakachua, wanajua kukamua.Koromije ni wasomi
Kukamua juice ya miwa kunataka nyenzoWasomi wakuchakachua, wanajua kukamua.
Mjini hawafanyi kazi, wanapenda kukamua.Nyenzo bora ndiyo habari ya mjin
Kukamua miwa ni njia moja ya mazoez ya mwiliMjini hawafanyi kazi, wanapenda kukamua.
Mwili hule wa miraba, ni mwili wa mazoezi.Kukamua miwa ni njia moja ya mazoez ya mwili
Kuninyima pia ni sawa hata sitaki unipe. Duuh na wewe hutaki kunyimwa hongera niambie basi niwe nakuitaje...Zakumi ni jina langu, mimi kijana nyingwa.
Mrembo waniita kaka, nini unataka kuninyima?
Mzigo nanyimwa mimi, yule kijana wa shamba.Nakuitaje.. Unakumbukaa tulivolala pamojaa Kulee Kwa bibi ila ukakataa kabisa kunipa mzigo.
Katambuga mbona sio mbaya wasi wasi wako tu huoMzigo nanyimwa mimi, yule kijana wa shamba.
Mie mvaa kandambili, au zile katambuga.