Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Huo ni ukosefu wa kutoamini jambo unalolifanyaKatambuga mbona sio mbaya wasi wasi wako tu huo
Huo ni ukosefu wa kutoamini jambo unalolifanyaKatambuga mbona sio mbaya wasi wasi wako tu huo
Huo sio wasiwasi, ukweli naweka wazi.Katambuga mbona sio mbaya wasi wasi wako tu huo
Unalolifanya kila ukiamka lazima unyooshe mwili kwanza halafu ndio mengine yafuate.Huo ni ukosefu wa kutoamini jambo unalolifanya
Yafuate kama ilivyo kanuni zetu katika huu mchezoUnalolifanya kila ukiamka lazima unyooshe mwili kwanza halafu ndio mengine yafuate.
Mchezo huu hauna dalili ya kufika mwishoYafuate kama ilivyo kanuni zetu katika huu mchezo
Mwisho wake labda JF ifike kikomoMchezo huu hauna dalili ya kufika mwisho
Kikomo chake jf sio leo wala keshoMwisho wake labda JF ifike kikomo
Kesho iwe mapumziko kuingia JFKikomo chake jf sio leo wala kesho
Jf haina mapumziko. Mapumziko ni pale ambapo mtu anakosa kifurushi.Kesho iwe mapumziko kuingia JF
Kifurushi sikosi ovyo ovyo, maana Tigo imeleta tangazo lenye ukakasi ili kuvutia watejaJf haina mapumziko. Mapumziko ni pale ambapo mtu anakosa kifurushi.
Wateja wenyewe wamesha anza kutofautiana uelewa wa hilo tangazo lao.Kifurushi sikosi ovyo ovyo, maana Tigo imeleta tangazo lenye ukakasi ili kuvutia wateja
Lao jukumu ni kuhakikisha wanafikisha ujumbe sehemu husikaWateja wenyewe wamesha anza kutofautiana uelewa wa hilo tangazo lao.
Husika kwenye ile sherehe uwe katika kamati ya vinywaji.Lao jukumu ni kuhakikisha wanafikisha ujumbe sehemu husika
Vinywaji hapo umepatia, nitawajazia hadi pomoniHusika kwenye ile sherehe uwe katika kamati ya vinywaji.
Pomoni ndo nini?Vinywaji hapo umepatia, nitawajazia hadi pomoni
Nini hukijui emmyta!Pomoni ndo nini?
Kikombe chenyewe kimeshavunjika hata sijui nafanyajeNini hukijui emmyta!
Hapo unajaza hadi pasiachwe nafasi yoyote kwenye glass au kikombe
Nafanyaje sasa ili niendelee kuwa hapa jamvini, maana muda wa kazi imewadia.Kikombe chenyewe kimeshavunjika hata sijui nafanyaje
Mwifwa na wanajamvi wote natuma kumekucha salama