bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Sasa tusubiri daku baada ya futari.Kujitambua tunajitambua sema upatikanaji wa mahitaji ya kila siku ni mgumu sana ukizingatia na maisha ya sasa.....
Sasa tusubiri daku baada ya futari.Kujitambua tunajitambua sema upatikanaji wa mahitaji ya kila siku ni mgumu sana ukizingatia na maisha ya sasa.....
Futari ya leo nimeikosa sababu nilitaka kuuwa ndege wawili kwa jiwe mojaSasa tusubiri daku baada ya futari.
Moja na moja ni mbili lakini wakati mwingine hubaki moja ileile au ziro kabisa kama ilivyokutokea!Futari ya leo nimeikosa sababu nilitaka kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja
Ilivyokutokea wewe wakati unajaribu kukimbia! Haitatokea usahau hicho kitendoMoja na moja ni mbili lakini wakati mwingine hubaki moja ileile au ziro kabisa kama ilivyokutokea!
Kitendo cha kuwaibia abiria waliopata ajali badala ya kuwaokoa, kinasikitisha sana!Ikivyokutokea wewe wakati unajaribu kukimbia! Haitatokea usahau hicho kitendo
Sana tu!Kitendo cha kuwaibia abiria waliopata ajali badala ya kuwaokoa, kinasikitisha sana!
Mbele kwa mbele tutaisoma nambaSasa tu!
Maisha yanasonga mbele
Namba za kirumi au za kiarabuMbele kwa mbele tutaisoma namba
Kiarabu ni moja ya lugha inayoenea kwa kasiNamba za kirumi au za kiarabu
Kasi mpya ya raisi wetu inabana matumiziKiarabu ni moja ya lugha inayoenea kwa kasi
Matumizi ya mitandao yanaongezeka kila sikuKasi mpya ya raisi wetu inabana matumizi
Kasi kasi me nilitaka kuwa mshindi umeleta tena neno kasi au unataka unishindeMatumizi ya mitandao yanaongezeka kila siku
Siku mpya ndo ishaanza less than 35hrs to uefa champions league final halla Madrid.Matumizi ya mitandao yanaongezeka kila siku
Madrid anapigea mapemaaaaa na vibibi vizeee maana wanakaba kuliko hata mkasiSiku mpya ndo ishaanza less than 35hrs to uefa champions league final halla Madrid.
Madrid hawezi kuchukua, kombe linaenda Italia kwa kibibi kizee cha Turin.Siku mpya ndo ishaanza less than 35hrs to uefa champions league final halla Madrid.
Madrid watacheza lini na Juve kwenye uefa hemu mkuu nijuze siku saa na tareheSiku mpya ndo ishaanza less than 35hrs to uefa champions league final halla Madrid.
Kizee cha Turin kitakimbizwa mbaya na vijana wa perezMadrid hawezi kuchukua, kombe linaenda Italia kwa bibi kizee cha Turin.
Tarehe 3 jmosi saa 21:30 yaani keshoMadrid watacheza lini na Juve kwenye uefa hemu mkuu nijuze siku saa na tarehe
Kesho jiandae tu kwa majonziTarehe 3 jmosi saa 21:30 yaani kesho
Majonzi hatuyajuagi mashabiki wa Madrid weka dauKesho jiandae tu kwa majonzi