Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wake zangu wote wameniasi na kunikimbia.....Yupi, ni yule audhihirishaye uanaume wake!
Wake zangu wote wameniasi na kunikimbia.....Yupi, ni yule audhihirishaye uanaume wake!
Kunikimbia na kwenda ku ftari peke yenu sijapendaWake zangu wote wameniasi na kunikimbia.....
Sijapenda kabisa jinsi dunia ilivyokuwa miaka ya siku hiziKunikimbia na kwenda ku ftari peke yenu sijapenda
Hizi barabara za Dar inakuwaje zinatisha hivi mvua ikinyesha!Sijapenda kabisa jinsi dunia ilivyokuwa miaka ya siku hizi
Ikinyesha mvua lazima tuwe na miavuliHizi barabara za Dar inakuwaje zinatisha hivi mvua ikinyesha!
Ikinyesha mvua lazima tuwe na miavuli
Sana ikiambatana na upepo mkali, utanihadithia kitakachokukutaMiavuli au makoti ya mvua vyote pouwa tu, ole wako usiwe nacho hata kimoja, huna usafiri na mvua ni kubwa sana.
Sana ikiambatana na upepo mkali, utanihadithia kitakachokukuta
Mvua iishe ni ngumu sana kuisha, labda ipungue au kukatikaKitachokunikuta wala sikuhadithii ila kama ni mvua isiyo na radi nitajibanza chini ya mti mpaka iishe vinginevyo kutafuta nyumba nijihifadhi hadi mvua iishe.
Mvua iishe ni ngumu sana kuisha, labda ipungue au kukatika
nn ni lugha ya wapi duniani?chepe chepe ndo nn!!?![]()
![]()
![]()
![]()
Wawiliwawili kweli si umeona hata njiwa walivyo!Duniani wawiliwawili
Uone peke yako hata na mie nataka niwaone.Walivyo vilaza, ngoja uone
Uone peke yako hata na mie nataka niwaone.
Wa kolomije kazidi , vilaza hawa watakuwa na nafuuNiwaone na mimi Emmyta nadhani watakuwa vilaza kama yule mkolomije wa Kolomije.
Nafuu bei ya kifuu, juu bei ya karafuu.Wa kolomije kazidi , vilaza hawa watakuwa na nafuu
Karafuu zinapatikana kwa wingi kisiwani zanzibarNafuu bei ya kifuu, juu bei ya karafuu.