Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Kutopambazuka kuna ubora wake piaKukicha ni bora kuliko kutopambazuka......!!
Kutopambazuka kuna ubora wake piaKukicha ni bora kuliko kutopambazuka......!!
Pia tulivyopangiwa kati ya mchana na usiku ili tuweze kujikimu......Kutopambazuka kuna ubora wake pia
Kujikimu ni hali ya kutimiza mahitaji yako ya kila siku japo kwa maisha ya sasa hivi ni vigumuPia tulivyopangiwa kati ya mchana na usiku ili tuweze kujikimu......
Vigumu ikiwa utajiendekeza au kuiga mfumo wa maisha ya wengine, Binaadamu watakiwa kukinai.....!!Kujikimu ni hali ya kutimiza mahitaji yako ya kila siku japo kwa maisha ya sasa hivi ni vigumu
Ili tuweze kujikimu kimaisha hatuna budi kubana matumizi.Pia tulivyopangiwa kati ya mchana na usiku ili tuweze kujikimu......
matumizi ya dawa za kulevya yamekithiriIli tuweze kujikimu kimaisha hatuna budi kubana matumizi.
Yamekithiri maovu na uhalifu kwa sababu misingi ya ulezi na mafunzo ya chekechea ni urojo mtupu na mbovu !!!matumizi ya dawa za kulevya yamekithiri
Mbovu mfumo wa uleaji wa watoto kwa miaka haswa kwa miaka ya sasaYamekithiri maovu na uhalifu kwa sababu misingi ya ulezi na mafunzo ya chekechea ni urojo mtupu na mbovu !!!
Sasa naona twende jikoni tukapike futari, maana tukiendekeza JF hatutafturu penye muadhana..!!Mbovu mfumo wa uleaji wa watoto kwa miaka haswa kwa miaka ya sasa
Muadhana leo ni saa ngapi kwani.Sasa naona twende jikoni tukapike futari, maana tukiendekeza JF hatutafturu penye muadhana..!!
Futari hununua restaurants na kuisogeza mezani.., huku kwetu huadhini saa moja kasorobo !!!Muadhana leo ni saa ngapi kwani.
Kwani na wewe zz wapika futari?
Kasorobo mbona masaa mengi sisi tunakula kumnambili na roboFutari hununua restaurants na kuisogeza mezani.., huku kwetu huadhini saa moja kasorobo !!!
Robo saa kwa mwenye saumu ni nyingi, ila huku kwetu tunafunga masaa 15 na dkk kadhaa,,,Kasorobo mbona masaa mengi sisi tunakula kumnambili na robo
Kadhaa wa kadhaa..Robo saa kwa mwenye saumu ni nyingi, ila huku kwetu tunafunga masaa 15 na dkk kadhaa,,,
wana jamviJamvi la uzi huu nani mshindiKadhaa wa kadhaa..
Habari za jioniwana jamvi
Mshindi wa nini bado mapema ligi hii itachukuwa miaka kadha ya mapambano hadi kufikia fainali....!!Jamvi la uzi huu nani mshindi
WanaJamvi wanakusalimu na kukutakia futari nono na makazi tulivu....Kadhaa wa kadhaa..
Habari za jioniwana jamvi
Tulivumilia mateso mengi ya nchi yetu ya TanzaniaWanaJamvi wanakusalimu na kukutakia futari nono na makazi tulivu....
Tanzania hakuna mateso bibi wee..., waTZ wengi huishi maisha ya miigizo na kutojitambua !!Tulivumilia mateso mengi ya nchi yetu ya Tanzania
Kujitambua tunajitambua sema upatikanaji wa mahitaji ya kila siku ni mgumu sana ukizingatia na maisha ya sasa.....Tanzania hakuna mateso bibi wee..., waTZ wengi huishi maisha ya miigizo na kutojitambua !!