Mburu kidudu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 532
- 541
kimakondeMsisho, we utakuwa unaongea na simu
kimakondeMsisho, we utakuwa unaongea na simu
Kimakonde!! Mburu kidudu umeingia kwa kasi sana bila kufuata utaratibu wa huu mchezokimakonde
Mchezo huu kila kukicha tunapata mwanafunziKimakonde!! Mburu kidudu umeingia kwa kasi sana bila kufuata utaratibu wa huu mchezo

mwanafunzi inabidi afundishwe kumaliza huu mchezoMchezo huu kila kukicha tunapata mwanafunzi
![]()
Mchezo wowote Lazima mshind apatikane,mwanafunzi inabidi afundishwe kumaliza huu mchezo
apatikane wapi wakati huu mchezo imeshindikanaMchezo wowote Lazima mshind apatikane,
Imeshndkana au umeshindwa ww???apatikane wapi wakati huu mchezo imeshindikana
WW kifupi cha world war hapa hakuna vita ni akiliImeshndkana au umeshindwa ww???
Akili ni nywele kila mtua anazo.WW kifupi cha world war hapa hakuna vita ni akili

Wapendwa nami pia nawatakia usiku mwemaAkili ni nywele kila mtua anazo.
Usiku mwema wapendwa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mwenyewe hayupo hadi sasa hujalalaMwema mke ataijenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
Hujalala mpaka sasa bora ujiandae kwenda kazini.mwenyewe hayupo hadi sasa hujalala
Kazini leo sijui kama nitasalimika, maana nimeamka na ulanzi kichwani!Hujalala mpaka sasa bora ujiandae kwenda kazini.
Ulanzi kichwani una mengi moja wapo unaweza ukaharibu kazi.Kazini leo sijui kama nitasalimika, maana nimeamka na ulanzi kichwani!
Lelebaba tena, huyo ni mdogo wangu
Sana ikizidi sana inakua sanawariHabari wanaJF,
Nnaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
Sanawari ndo nn?? Emmyta c hatujambo cjui ww u mzima??Sana ikizidi sana inakua sanawari
mzima kabisa mimi... nawatakia jumatatu muruwaah kabisaSanawari ndo nn?? Emmyta c hatujambo cjui ww u mzima??
Kabisa, swadakta swadaktana, kama nakuona unavyoongea kwa pozimzima kabisa mimi... nawatakia jumatatu muruwaah kabisa
Pozi kwa poz ommy dimpozKabisa, swadakta swadaktana, kama nakuona unavyoongea kwa pozi