Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,639
Mchina kwa wadada wa mjini inatuvuruga vichwa
Vichwa vipi??Mchina kwa wadada wa mjini inatuvuruga vichwa
Vipi tena kituko umeibuka upya!Vichwa vipi??
Upya upi unaouzungumzia?Vipi tena kituko umeibuka upya!
Unaozungumzia post 42677 angalia alivyochomekeaUpya upi unaouzungumzia?
Alivyochomekea ni staili ya kisharobaroUnaozungumzia post 42677 angalia alivyochomekea
Alivyochomekea pichu na mkandaUnaozungumzia post 42677 angalia alivyochomekea
Mkanda umempendeza sana.Alivyochomekea pichu na mkanda
Umepotelea wap au kwa mchepuko??mkanda wangu umepotea
Mchepuko ni janga la kitaifaUmepotelea wap au kwa mchepuko??
Mchepuko ni janga la kitaifa
Tena unajaribu ule mtindo uliokuwa nao pale mwanzoni?kitaifa na kimataifa niliwai kuchepuka nikakamatwa sichepuki tena
Mimi bado naomba uzi huu usiwe na mwishosikuwepo ata mimi
Mimi mwenyewe sijuisikuwepo ata mimi
Msisho, we utakuwa unaongea na simusijui nani atakuwa wa msisho
Simu ya yule mrembo nimekuta mambo hatari sana nilipoionaMsisho, we utakuwa unaongea na simu