Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
ommy dimpoz siku nyingi sijamsikia hivi yupo kweli au kahama nchiPozi kwa poz ommy dimpoz
ommy dimpoz siku nyingi sijamsikia hivi yupo kweli au kahama nchiPozi kwa poz ommy dimpoz
Nchi iyo kila mtu atahama na ww jakitoo ukitaka kuhama usiache kunipa tarifaommy dimpoz siku nyingi sijamsikia hivi yupo kweli au kahama nchi
tarifa ntakupa wewe tena, naachaje labda kwa mfanoNchi iyo kila mtu atahama na ww jakitoo ukitaka kuhama usiache kunipa tarifa
Mfano ukisahau itakuwaje shosti??tarifa ntakupa wewe tena, naachaje labda kwa mfano
Shosti, shostito, shoshoro, eti ndio maana yake rafikiMfano ukisahau itakuwaje shosti??
Shosti, shostito, shoshoro, eti ndio maana yake rafiki
Upendo unahimizwa kila siku kwanini we hunipendirafiki wa kweli ahesabu gharama ya upendo
Hunipendi nimeshagundua!!Upendo unahimizwa kila siku kwanini we hunipendi
Wapendwa muda si mrefu tunaingia mchanaHunipendi nimeshagundua!!
Habari zenu wapendwa!!
Mchana ushaingia! Sasa naanza kuangalia mialiko ya lunch, emmyta sijui yuko wapi maana sio mchoyo kunialikaWapendwa muda si mrefu tunaingia mchana
Mchana ushaingia! Sasa naanza kuangalia mialiko ya lunch, emmyta sijui yuko wapi maana sio mchoyo kunialika
Kwenda safari sijaenda bado nipo nawasalimia habari za mchana?kunialika alinialika sema sikuweza kwenda
Kwenda safari sijaenda bado nipo nawasalimia habari za mchana?
Kanikera kweli yule niliyemwambia aje akakataa.mchana wangu umeenda viabaya kuna binadamu kanikera
Kanikera sana yule jamaa
Vile vile nawe waambie Bank hujapata pesa za kurejeshajamaa mwenyewe namdai hatak kunipa pesa yangu anasema anadaiwa bank wakati ata mimi nadaiwa vile vile
Vile vile anatakiwa ajue dawa ya deni ni kulipa.jamaa mwenyewe namdai hatak kunipa pesa yangu anasema anadaiwa bank wakati ata mimi nadaiwa vile vile
Vile vile anatakiwa ajue dawa ya deni ni kulipa.
kulipa yenyewe inataka kunishinda sijui niuze kiwanja kimoja niamie kenya uku kunataka kunishinda