gbefa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,807
- 15,846
Yupi huyo unamuuliza swali hili Dada sakayoMwanamke huyo ni yupi
Yupi huyo unamuuliza swali hili Dada sakayoMwanamke huyo ni yupi
Sakayo dadako nipo, nyie ndo mmenitengaYupi huyo unamuuliza swali hili Dada sakayo
Mmenitenga lakini Mungu hawezi kunitengaSakayo dadako nipo, nyie ndo mmenitenga
Mmenitenga kisa mimi mwanafunzi mnatujadili sana humu Jf hadi binafsi nimeamua niwakimbie tu niwaachie ninyi wakubwa, u mzima lakini dadaSakayo dadako nipo, nyie ndo mmenitenga
Kunitenga ni dhambiMmenitenga lakini Mungu hawezi kunitenga
Dada yako Sijambo, vipi wewe mdogo wanguMmenitenga kisa mimi mwanafunzi mnatujadili sana humu Jf hadi binafsi nimeamua niwakimbie tu niwaachie ninyi wakubwa, u mzima lakini dada
Dhambi naacha namrudia AliyeniumbaKunitenga ni dhambi
Aliyeniumba ni MunguDhambi naacha namrudia Aliyeniumba
Wangu nipo fresh Ila nipo nje ya jiji maana tumefunga nipo kwa wangoni hapa nafanya mazoezi kwa vitendo, nimekukumbuka sana aiseeh!Dada yako Sijambo, vipi wewe mdogo wangu
Aisee kumbe wewe ni dent!Wangu nipo fresh Ila nipo nje ya jiji maana tumefunga nipo kwa wangoni hapa nafanya mazoezi kwa vitendo, nimekukumbuka sana aiseeh!
Dent la elimu ya mkuu, usinitenge tu mkuuAisee kumbe wewe ni dent!
Mkuu pambana maisha sio lelebabaDent la elimu ya mkuu, usinitenge tu mkuu
Lelebaba tena, huyo ni mdogo wanguMkuu pambana maisha sio lelebaba
Lelebaba;!?Mkuu pambana maisha sio lelebaba
sawa mkuu tunapigana haswaa aiseeMkuu mdogo wangu nimekumiss sanaDent la elimu ya mkuu, usinitenge tu mkuu
Sana hata Mimi pia aiseeh jambo jema I found you here again am so happy serious... Vipi life!?Mkuu mdogo wangu nimekumiss sana
Life linasonga kiubishi mdogo wangu. Nimefurahi kukuona tenaSana hata Mimi pia aiseeh jambo jema I found you here again am so happy serious... Vipi life!?
Tena chai nitakunywa vizuri leo maana Nina furaha nimependa na avatar yakoLife linasonga kiubishi mdogo wangu. Nimefurahi kukuona tena
Tena nilitaka kukuambia mapema ila hukuwa ukionekanaLife linasonga kiubishi mdogo wangu. Nimefurahi kukuona tena
Yako wapi majina kama ndama mtoto wa ng'ombe na papaa musofeTena chai nitakunywa vizuri leo maana Nina furaha nimependa na avatar yako