Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Wito ni dhamanaDaktar wa siku izi wote wanaringa hawajui kwamba kazi yao ni wito
Wito ni dhamanaDaktar wa siku izi wote wanaringa hawajui kwamba kazi yao ni wito
Yamebadilika kwasababu wamekosa mafunzoWito zaman ulikua ni ualimu ila sasa mambo yamebadilika
Mafunzo kwa vitendo hasa maana nadharia ndio imepewa kipaombeleYamebadilika kwasababu wamekosa mafunzo
Kipaombele au kipaumbele, andika taratibu maneno yasomeke ipasavyoMafunzo kwa vitendo hasa maana nadharia ndio imepewa kipaombele
Ipasavyo haswa sio kukurupukaKipaombele au kipaumbele, andika taratibu maneno yasomeke ipasavyo
Kukurupuka kuna waponza wengi sanaIpasavyo haswa sio kukurupuka
Sana sana ktk kipindi hikiKukurupuka kuna waponza wengi sana
Hiki ni kipindi cha mpitoSana sana ktk kipindi hiki
Mpito wa kituko umepita naona kadhibitiwaHiki ni kipindi cha mpito
Kadhibitiwa baada ya watu kuamua kuungana kwa pamojaMpito wa kituko umepita naona kadhibitiwa
Pamoja na yote maji yamezidi ungaKadhibitiwa baada ya watu kuamua kuungana kwa pamoja
Unga wa maandazi au Chapati?Pamoja na yote maji yamezidi unga
Chapati ya kusukuma au kumiminaUnga wa maandazi au Chapati?
Kumimina zege ni kazi ngumuChapati ya kusukuma au kumimina
Ngumu kumeza, ebu ilete kwa mtindo mwingineKumimina zege ni kazi ngumu
Mwingine asogee ww ushamaliza, karibu sanaNgumu kumeza, ebu ilete kwa mtindo mwingine
Sana!!Mwingine asogee ww ushamaliza, karibu sana
kwa hiyo ndio unaniaga hivyo,Sana sana niseme usikuni mwema nyote wana jf,kesho panapo majaaliwaMwingine asogee ww ushamaliza, karibu sana
Mpito wa kituko umepita naona kadhibitiwa
Zingine bado hazijanunuliwa, huenda zitaletwa aina ya mchinaKadhibitiwa na nani sasa, haaaaahaaaa, angalia bwana unawatoa watu nje ya mada, watu wako kwenye mtiririko wao wewe unaleta habari zingine