Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Viatu?! Napata ukakasi kunasibisha viatu na binadamu
Binadamu wanasiliana, kwa kutumia lugha.

Lugha yenye vivumishi, inaleta maana ya kuvutia.

Vumisha mara moja, maana inaeleweka.

Ukivumisha mara ya pili, maana iongezeki.

Kuwa bahili wa vivumishi, kuikuza lugha safi.
 
Safi sana uandishi wako mkuu zakumi
 
Zakumi ndio nani
Nani huyu Zakumi, utakaje kumjua.

Zakumi mbeba maboksi, mazito yatamuua.

Zakumi alikimbia mikosi, yakulazimishwa kuoa.

Leo abeba maboksi ya mikasi, ujuvi wake umemkomoa.

Zakumi rudi nyumbani kula nyasi, ujanja wa bongo nje autokumboa.
 
Back
Top Bottom