Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Letu ni tegemeo, hilo unasema hapa.

Ukibaki peke yako, miujiza wahitafuta.

Kwa waganga utafika, kikombe kukitafuta.

Tambiko utafanyiwa, hili ngekewa umpate.

Wabongo kwa kupenda miujiza, Mungu sio tegemeo lenu.
Hapa nilipo ninahisi usingizi
 
Wenyewe hawajitambui
Hawajitambui kweli(fisi em) ndomaana waliwaambia wenzao(ukawa) watakufa kwa ajali bila kutambua na wao watakuwa kwenye basi analoendesha dereva yuleyule(kufuli)
Hey fisi em how is the journey going on?
 
Back
Top Bottom