Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Ango ni nini?Jamani hata simba walikula rambirambi za mafisi ango
Ango ni nini?Jamani hata simba walikula rambirambi za mafisi ango
Nini maana ya kifo cha mende?Ango ni nini?
Mende anaweza kuangusha kabatiNini maana ya kifo cha mende?
Kabati lipi hilo?emmyta yuko api leoMende anaweza kuangusha kabati

haya nmewamiss nyote humuHumu leo sijui watu wamepotelea wapi? Bora wewe umekujaKabati lipi hilo?emmyta yuko api leohaya nmewamiss nyote humu
Umekuja kitokea wapi na ww,mm nmeona jukwaa limedorora leo ndo nkaamua kuingia hata thatsit nae simuoniHumu leo sijui watu wamepotelea wapi? Bora wewe umekuja
Simuoni Daby, Zamiluni Zamikuni, jakitoo, emmyta na wengine wapenzi wa huu uzi maridhawaUmekuja kitokea wapi na ww,mm nmeona jukwaa limedorora leo ndo nkaamua kuingia hata thatsit nae simuoni
Maridhawa ni kuridhika na unachokionaSimuoni Daby, Zamiluni Zamikuni, jakitoo, emmyta na wengine wapenzi wa huu uzi maridhawa
Unachokiona wapi Mtebetini!!Maridhawa ni kuridhika na unachokiona
Hizo zote ni mbinu zako za kutaka kuchukua ushindi, lkn nahic km zitafeliUnachokiona wapi Mtebetini!!
Halafu nilikusahau maana umepotea sana, vipi habari za pande hizo?
Zitafeli endapo nitaanza kukutana na misamiati migumuHizo zote ni mbinu zako za kutaka kuchukua ushindi, lkn nahic km zitafeli
Migumu mihogo ya yule jamaaZitafeli endapo nitaanza kukutana na misamiati migumu
Jamaa yupi?Migumu mihogo ya yule jamaa
Yupi zaidi ya yule jiran yako aloniuzia mihogo migumu janaJamaa yupi?
Jamaa yangu Mwifwa nipo pilika za DuniaMigumu mihogo ya yule jamaa
Jana na leo kidogo hali ya hewa imekuwa nzuriYupi zaidi ya yule jiran yako aloniuzia mihogo migumu jana
Dunia tambala bovuJamaa yangu Mwifwa nipo pilika za Dunia
Jana mimi sikuwepo nyumbani, ningekuwepo usingeuziwa hiyo mihogoYupi zaidi ya yule jiran yako aloniuzia mihogo migumu jana
Dunia ina mambo mengi sanaJamaa yangu Mwifwa nipo pilika za Dunia
Sana mpaka tutaondoka hatutayamalizaJana mimi sikuwepo nyumbani, ningekuwepo usingeuziwa hiyo mihogo
Dunia ina mambo mengi sana
Hatutayamaliza hata kwa asilimia sifuri nukta sifuri sifuri sifuri mojaSana mpaka tutaondoka hatutayamaliza