Leo nimechelewa kuingia humu!Hvyo hvyo tu hakuna shida maana ndio mavaz tuliyochagua ya shughuli hii ya leo
Mchezoni kumshinda alitaka apewe ushindi lkn kadunda. Hata mm km cjapata ushindi wiki hii huenda nikajitoaWapendwa twahuzunika mwenzetu Arabian queen kajitoa mchezoni
Nikajitoa kwa hali na mali pale ambapo palionekana kuna upungufu ili tuweze kuendelea na mashindano yetu.Mchezoni kumshinda alitaka apewe ushindi lkn kadunda. Hata mm km cjapata ushindi wiki hii huenda nikajitoa
Yetu sote haya mashindano lkn yanaanza kutuchoshaNikajitoa kwa hali na mali pale ambapo palionekana kuna upungufu ili tuweze kuendelea na mashindano yetu.
Kutuchosha ni kawaida katika kila jambo lakini haitakiwi kukata tamaaYetu sote haya mashindano lkn yanaanza kutuchosha
Tamaa mbele mauti nyumaKutuchosha ni kawaida katika kila jambo lakini haitakiwi kukata tamaa
Nyuma mwiko daima mbeleTamaa mbele mauti nyuma
Mbele yako kuna mafanikioNyuma mwiko daima mbele
Mafanikio ni mazuri ila ili kuyafikia inatakiwa kujituma kwa hali ya juu.Mbele yako kuna mafanikio
Nyuma ukimbie vizuri, mwendo wako ni wa kobe.Tamaa mbele mauti nyuma
Juu ya yote unatakiwa umtegemee MuumbaMafanikio ni mazuri ila ili kuyafikia inatakiwa kujituma kwa hali ya juu.
Muumba wa mbingu na nchi ni Mungu baba mwenyeziJuu ya yote unatakiwa umtegemee Muumba
Mwenyezi Mungu ndiye tegemeo letu...Muumba wa mbingu na nchi ni Mungu baba mwenyezi
Kichwa si lazima sana, kunyolewa hiyo hakika.Kunyoa nywele ni vizuri kwa upande wa wanaume ila kwa sisi wanawake inategemea kichwa na kichwa.
Letu ni tegemeo, hilo unasema hapa.Mwenyezi Mungu ndiye tegemeo letu...