Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Pingamizi likiwekwa kwenye huu uzi nitaandama
Nitaandama wewe wasema, ukiwekewa pingamizi.

Andamana kwenye mambo muhimu, sio kupingwa kwenye uzi.

Andamana kwenye elimu, upate hekima za kujiwezesha.

Usiandamane kwa jambo foramu, huko ni kujizeesha.
 
Kujizeesha ni pale unaposhindwa kutambua jema na baya
 
Back
Top Bottom