Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Sumu ya panya,kunguni,fangasi na mende.Uone ya kuwa mke wa mtu sumu
Sumu ya panya,kunguni,fangasi na mende.Uone ya kuwa mke wa mtu sumu
Mende hupatikana sana chooniSumu ya panya,kunguni,fangasi na mende.
Chooni hata watu wa pwani hupapenda... hapa utanielewa kama umewahishuhudia Baikoko.Mende hupatikana sana chooni
Baikoko wana tabia chafu kwenye jamiiChooni hata watu wa pwani hupapenda... hapa utanielewa kama umewahishuhudia Baikoko.
Jamii yetu pia inapenda hivyo vitu wakidai ni burudani....Baikoko wana tabia chafu kwenye jamii
Bai kuku ni wakutaga mai matatu kwa siku !!Jamii yetu pia inapenda hivyo vitu wakidai ni burudani....
Tumuulize Daby eti maeneo ya Nguvumali iliwahi kufika Baikoko.
Siku mbaya maishani ni pale unapo fumaniwa na mke wa Mtu.Bai kuku ni wakutaga mai matatu kwa siku !!
Mtu mwenyewe awe mwanajeshiSiku mbaya maishani ni pale unapo fumaniwa na mke wa Mtu.
Mwanajeshi ni moja ya binadamu jasiri.Mtu mwenyewe awe mwanajeshi
Mwanajeshi anatakiwa kuwa jasiri sio mwoga kama Harmorapa.Mtu mwenyewe awe mwanajeshi
Udhaifu wa mwanamme ni mwanamkeSiku zinasonga na serikali ya jk inazid kuonyesha udhaifu.
Harmorapa ni moja ya rapa bora kuwahi kutokea Nchini Tanzania.Mwanajeshi anatakiwa kuwa jasiri sio mwoga kama Harmorapa.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ubongo umechafuliwa kwa misongo yasiyo na tija !!!Kichafu kichwa umejaza nini katika wako ubongo.
Tija na ufanisi kipi cha Muhimu.Ubongo umechafuliwa kwa misongo yasiyo na tija !!!
Muhimu ni kuwa na furaha, vingine ni nyongeza tuTija na ufanisi kipi cha Muhimu.
Tu tu tyu ilisika sauti ya majipu yakitumbuliwa, mtakoma Leo mshindi ni Mimi tu.Muhimu ni kuwa na furaha, vingine ni nyongeza tu
Tu-tafika salama endepo dereva wetu hata tumia viroba!!Muhimu ni kuwa na furaha, vingine ni nyongeza tu