Roller coaster
Senior Member
- Jan 5, 2015
- 194
- 129
Hujakumbia kivuli chako siku ile ??...hujakimbia?
Hujakumbia kivuli chako siku ile ??

kweli kabisa
lengo lako kuniquote naamini ni hapo nilipokosea=Ishafufuliwa kweli nilimaanishaSiku ile ilikuwa balaaHujakumbia kivuli chako siku ile ??
Balaa la kimbunga lisikie tu, bora ukutane Simba mla nyama!!Siku ile ilikuwa balaa
5,500 Tsh enzi hizo ukichenji kwa US$ ndiyo ilikuwa utatapa dola elfu moja !!Nyama kilo 5500
Mshindi mimi hapasawa umecomment ila huwezi kuwa wa mwisho kwa hiyo wewe bado sio mshindi
hapa hapa jamiiforum au sehemu nyingineMshindi mimi hapa
Nyingine ilipatikana chini ya mlima Meru !!hapa hapa jamiiforum au sehemu nyingine
Wapi ambapo naweza kumuona kamanda sepetu?Mlima meru ndio upo wapi°°°°
Simjui kwa sura aliyeanzisha mada ya huu uziSepetu ndio nani, mbona mi simjui