Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Fasaha ya lafudhi ya kiarabu ndiyo msingi wa lugha ya kiswahili laa sivyo kiswaha kitasambaratika pwaah !!huuelewi sio kiswahili fasaha
Fasaha ya lafudhi ya kiarabu ndiyo msingi wa lugha ya kiswahili laa sivyo kiswaha kitasambaratika pwaah !!huuelewi sio kiswahili fasaha
Nini unafahamu juu ya fasaha na Lahaja !!?Fasaha kama nini?
Kiswahili ni johari ya watanzania tunspswa kukienzi na kukitunza...!!Lahaja!!? Mimi si mtalaam wa kiswahili
Kweli kabisa hasa kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojiaKukitunza kiswahili ni kazi kweli kweli
Teknolojia ni nyezo muhimu katika maendeleoKweli kabisa hasa kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia
Maendeleo ya nchi kama Tanzania ni yakubahatishaTeknolojia ni nyezo muhimu katika maendeleo
Yakubahatisha ni bora kuliko ya kubangizia au kuchapia...Maendeleo ya nchi kama Tanzania ni yakubahatisha
Kuchapia ni ujanja baada ya mambo kuwa magumuYakubahatisha ni bora kuliko ya kubangizia au kuchapia...
Magumu kama ya MaguKuchapia ni ujanja baada ya mambo kuwa magumu
Bashite imetajwa sana mpaka imekuwa MonotonousLakini wadau tumemmic Bashite
Bashite imetajwa sana mpaka imekuwa Monotonous
tafadhali bado halijachosha
Zinazochukuliwa mpaka limechacha..Limerudiwa Mpka ishakuwa kawaida sasa Hivi maana hamna hatua zozote zinazochukuliwa
Limechacha pilau ya harusini....Zinazochukuliwa mpaka limechacha