BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
CCM sio nchi kwahiyo sijui uhusiano unaouongelea
Unaouongelea mtafaruku au mushkel !!CCM sio nchi kwahiyo sijui uhusiano unaouongelea
Mtafaruku ulisababishwa na wachochezi waliyo nyamazishwa !!!Bungeni hoja za wabunge zimezua mtafaruku
Kusema siyo kama kutenda, siye tuwe watendaji!!Wachochezi walionyamazishwa wamepata la kusema
Waligoma kuhamishwa ktk makazi yenye mabonde!!Watendaji si ndio waligoma
Mabonde mengi yamejaa majiWaligoma kuhamishwa ktk makazi yenye mabonde!!
Maji mazito kuliko mafuta, Aishah2016 umeadimika kamzizi wa jiwe !!Mabonde mengi yamejaa maji
Mzizi wa jiwe tena mkuu.. Mm nipo sema majukum tu.. Hope wote mko poa?Maji mazito kuliko mafuta, Aishah2016 umeadimika kamzizi wa jiwe !!
Poa kama maji kwenye mtungiMzizi wa jiwe tena mkuu.. Mm nipo sema majukum tu.. Hope wote mko poa?
Mtungi wa gesi umelipuka huko kituoni....Poa kama maji kwenye mtungi
kweli kabisaIsafufuliwa kweli
...hujakimbia?Mtungi wa gesi umelipuka huko kituoni....
Kweli kbs kuna uhaba wa maBilionea !!kweli kabisa